Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hajajua nini kimempa mafanikio
 
Ukiwa unafanya harakati Sana (movement) Ila haupigi hatua (progress) unabidi kujitathimini upande Wa spiritual Kwa kuondoa negative energy na huu sio uchawi

Chumvi ya mawe ni Kama sabuni Kazi kubwa ni kujisafisha na kupata reborn nakufungua chakra
Sasa mtu hajui kuhusu uwepo wa negative energy anachokijua yeye ni laana tu basi sasa unadhani ataelewa kuhusu chumvi ya mawe?
 
Hajajua nini kimempa mafanikio
Unaweza komaa na ukufuata Kila kitu Kila njia na usitoboe kwenye mbishe zako.

Mpaka hapo utajiuliza tatizo ni Nini!?

Kuna mambo Yako nje ya uwezo wako wa kibinadamu. Nguvu hasi.

Ndipo Sasa Chumvi inaingia.

Newtown third laww of motion

"For every action there is equal and opposite reaction"

Chumvi Iko for reaction Sasa sio Action[emoji1787]
 
Na maji ya baraka hawasemi ni ushirikina.

Mafuta ya mwamposa na manabii hawasemi ni ushirikina.

Mafuta na dawa za kisunna hawasemi ni ushirikina.

Mizizi na mitishamba je!?.

It's all about perception.
Yani ukichukua mizizi ukanywa ukatibu tumbo huambiwi ni ushirikina ila mizizi hiyo hiyo ukitibu tatizo la kiroho utaambiwa ni ushirikina, imekuwa rahisi sana kusema kitu fulani ni ushirikina.
 
Na sisi tunaooga maji ya visima yenye chumvi kila siku na bado tuna mamikosi kama yote unatuambia nini mkuu?
Una uhakika gani kama una mikosi tu na si matatizo zaidi kama mauchawi huko? Lakini pia kuna watu wana mikosi sugu.
 
Unaongea Hadi KICHWANI?
 
Imani potofu mbaya sana
Unajua hata hii mitishamba ambayo waafrika hutumia katika kutibu maradhi wengine huwa wanachukulia ni imani potofu pia, wao wanaona tiba hupatikana hospitali au kwa madawa ya kizungu tu ila mitishamba ndio dawa walizotumia wazee wetu na ndipo hutumika pia hata kwenye kwenye kutengenezea madawa ya kizungu.
 
Haya majani nitayapata wapi huku daslam mkuu una acces nayo unifanyie mpango niyapate??
 
Upo sahihi nipo kwenye biashara mwaka wa tano huu naona vita vyake kuna vita vingine vinapigwa hata mwenyewe hujui...hakika wewe ni mfanyabiashara
 
Yaani mtu anakupakaziaje mimba?
 
Sahihi Kabisa ulichosema
Binafsi nilisema jf si mahali pakuwapa watu faida pamejaa utoto sio ile jf ya zamani nondo zilikuwa kama zote..
Unafanya yako unawaacha watu wanateseka unabaki kuwacheka tu..

Ndo maana hata matajiri huwa hawatupi mbivu sisi maskini nao walishajua hata akikupa utaishia kumnanga tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…