Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah

Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
Kuna nguvu ya asili inayoendesha mambo sijui kama unalijua hilo
Kwa haya uliyoandika hapa ni kwamba
Hujawahi face changamoto zozote za maisha
 
Je, waoweka kwenye mboga hiyo haiondoi negative energy?
 
We ndo great thinker unaeamini ukiogea chumvi inakuletea baraka mjinga mmoja wewe
usipanic mdogo wangu sio kila kitu kwenye hii dunia ni lazima ukitumie kama umeona hakifai ni bora tu ukae kimya maana kuna watu wanateseka wanatafuta suluhisho la matatizo yao kuna ambao wapo tayari hata kuua na kufanya dhambi nyingine ili tu mateso yawaondokee hivho nlichoelezea ni kitu kidogo tu unaweza kukiacha au kukifanya lakini usitumie nguvu kubwa kumkwaza mwingine


SIO KILA POST LAZIMA UCOMMENT
 
Punguza kujieleza andika comment fupi sijasoma huu upuuzi
 
Kwenye mboga inawekwa kuleta taste tu, ila kuondoa negativity ni unaogea na kwa madhumuni umeweka moyoni kwamba nataka kuondoa jambo flani baya juu yangu....chumvi ina maajabu ukiwa na imani nayo
Na sisi tunaooga maji ya visima yenye chumvi kila siku na bado tuna mamikosi kama yote unatuambia nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…