Hiyo bila shaka ni prototype hadi sasa limetwngenezwa hilo tu, swali namba 1 ndio analoweza kujibu kwa sasa...
Mengine ngoja tumsubiri atapofanya mass production...
😄😃😅😆Na kwa muundo huu hawez kupata wateja hii haiwezi kushindana na kirikuu
Ngumu Kutoa Majibu Mujarabpongezi zimfikie ila atuletee haya majibu
Jamaa ni "kichwa" haswaa👍Ila Masoud ana mambo mengi sana. Mbunifu