Kufa ni jambo lingine,Si kweli, kuwa Mbowe akiondoka CDM itakosa mtu. Je akifa ndio mwisho wa CDM?
Pale CDM ya sasa mtu wa kuvaa nafasi ya mkt bila kukiua chama hayupo.
Labda Si CCM hii nayoijua mm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa ni jambo lingine,Si kweli, kuwa Mbowe akiondoka CDM itakosa mtu. Je akifa ndio mwisho wa CDM?
Uko sahihi kabisa!Mimi sio mtaalam wa siasa ila akitokea mtu anipe success story ya mtawala kufanya maridhiano na mpinzani na bado mpinzani akabaki na nguvu basi nitaungana na wanaosema Mbowe kafanikiwa.
Mimi nna mfano hai wa juzi tu hapa, Kenyatta na Odinga. Odinga alipoteza mvuto kwa wananchi baada ya maridhiano yao. CCM ndio wanufaika zaidi wa hayo mnayoita maridhiano yanayowa-limit kuikosoa serikali.
Wasiwasi sio akili pekee, wakati mwingine ni uoga usio na maana..TINDO yupo sawa.
Wasiwasi ndio AKILI.
Chama Cha Mapinduzi Si Rahisi kuachia bila KUPINDULIWA,
Tujifunze Zanzibar, Maalim alitumia njia zote za nguvu na ustaarabu bt nn yalikuwa matokeo yake???
Kwamba unaamini CCM wanaweza wakakubali kuachia madaraka ya nchi nafasi ya Urais Kwa maridhiano?Wasiwasi sio akili pekee, wakati mwingine ni uoga usio na maana..
Mbaya zaidi unapokomalia jambo mpaka kwa kutafuta sababu za kutengeneza [fabricated] ili kuhalalisha unachopigania, wakati uhalisia field ni tofauti.
Suala la kuachia madaraka hiyo ni next stage, kwa sasa tukubaliane maridhiano yameleta mikutano ya siasa, na kama maridhiano yameleta mikutano ya siasa, basi pia, muamini yataleta Katiba Mpya na mengineyo ikiwemo Tume Huru.Kwamba unaamini CCM wanaweza wakakubali kuachia madaraka ya nchi nafasi ya Urais Kwa maridhiano?
Zanzibar hapo Jirani hapakupi tu kujifunza?
Ok.Kwanza nashukuru kwa kunifuatilia, na kizuri zaidi kutokukubaliana na mtazamo wangu, hasa kuhusu huyo Freeman Mbowe. Napenda kusema naheshimu mtazamo wako kwani hiyo ndiyo afya ya mjadala, na zaidi hiyo ndio demokrasia.
1. Kuhusu mtazamo wako wa kiongozi kukaa muda mrefu madarakani, hilo halina shida kwangu. Ni maoni yako and I respect that kwa sababu kwa hilo hata Mimi naweza kuwa na maoni tofauti na ndivyo ilivyo. Na kuhusu hilo, mimi nadhani hata Freeman Mbowe na CHADEMA wenyewe nina hakika wanajua umuhimu wa kubadili uongozi baada ya muda fulani..Sasa tuje huko kwa Freeman Mbowe, nasema hivi, mimi ni muumini wa nafasi ya kiongozi wa kuchaguliwa kutokuzidi miaka 10, sasa hili ni kosa langu sio lako. Lakini ni ukweli usioacha shaka kuwa kiongozi akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, ubora wake hupungua, na huanza kutawala kwa mizengwe, Mbowe anaangukia kwenye kundi hili. Ukitazama CDM ilipotoka na ilipotakiwa kuwa sasa hasa upande wa miundombinu, kama ofisi hata 1 moja MKOA ni vitu tofauti! Kibaya zaidi anaanza kusema kuna mabilioni yake mengi ameyatumia kwa ajili ya CDM, yaani anaonyesha CDM ni mali yake na wala sio kiongozi.
Hapa una maanisha nini?Kwa kiongozi muwajibikaji, baada ya blunder ya kumpokea Lowassa kushindwa kupata urais, Mbowe alipaswa Kujiuzulu.
Soma maelezo hapo juuAma kama aliona sio sawa, kujiuzulu baada ya kosa lile, basi hakupaswa kugombea uenyekiti tena msimu uliopita.
Hukosei hata kidogo. Ni maoni yako na ni haki yako ya kabisa. Lakini wapo ambao hawatakubaliana na maoni yako. Muhimu ni kuheshimiana you..!!Jambo hili halinipi ruhusa dhamira yangu kukubaliana na mwenendo huo. Hii ni haki yangu ya kidemokrasia, je nakosea kutumia haki yangu ya kidemokrasia kumkataa kiongozi ambaye nina sababu za msingi za kumkataa?
Yes. You are absolutely right..Sababu hizi sio lazima ziwe za msingi kwako, lakini kwangu zina msingi, na nitazishikilia.
Kama wewe si muumini wa ku - resolve conflicts kwa njia za amani (mazungumzo), then there's something wrong in you.Huko kwenye maridhiano, kwanza mimi sio muumini wa maridhiano na hao ccm, hilo moja, lakini sipingi wenye kuamini hayo maridhiano. Japo kwa mtazamo wangu, si sahihi Mbowe kwenda mwenyewe kwenye jambo hilo. Naijua tabia ya CCM kwenye maridhiano, na mifano hai ninayo. Hapa ni mjadala mpana.
Hopefully, kwa wakati wake hilo litafanyika. CHADEMA walio wengi wanajua na Freeman Mbowe mwenyewe anajua..Nahitimisha kwa kusema, ni sahihi sana Mbowe kukaa pembeni, kwani ameshakaa muda wa kutosha, na sasa anaelekea kushuka chini, ni vyema akakaa pembeni akapisha wengine, labda uniambie kuwa huko CDM hakuna mwingine zaidi yake kwa nafasi ya uenyekiti.
Tusubiri.Suala la kuachia madaraka hiyo ni next stage, kwa sasa tukubaliane maridhiano yameleta mikutano ya siasa, na kama maridhiano yameleta mikutano ya siasa, basi pia, muamini yataleta Katiba Mpya na mengineyo ikiwemo Tume Huru.
Mbowe na Chadema wanaipigania, Samia nae kaonesha ushirikiano kwa upande wao, sasa kwanini muendelee kuishi kwa wasiwasi na mashaka kama sio ujinga tu wa kiharakati uliojaa kwenye vichwa vyenu? tena wakati mwingine mpaka kujitungia vijisababu vya vilema!.
Mkiambiwa siasa ni sayansi muelewe, msishupaze shingo na mbinu moja tu ya kukariri ya harakati.
Ok.
It's true and thanx for that at least
1. Kuhusu mtazamo wako wa kiongozi kukaa muda mrefu madarakani, hilo halina shida kwangu. Ni maoni yako and I respect that kwa sababu kwa hilo hata Mimi naweza kuwa na maoni tofauti na ndivyo ilivyo. Na kuhusu hilo, mimi nadhani hata Freeman Mbowe na CHADEMA wenyewe nina hakika wanajua umuhimu wa kubadili uongozi baada ya muda fulani..
Lakini kwa mazingira ya siasa za Kitanzania na Afrika au ktk nchi za dunia ya tatu, ziko factors mbalimbali za kuangalia Kila kunapotaka kufanyika inner political party power transition na moja kubwa ni uwezo wa kiongozi huyo kuunganisha makundi mbalimbali ndani ya chama cha siasa bila kuwa compromised. Freeman Mbowe ktk mazingira ya siasa hizi anastahili na ameweza kuilinda CHADEMA na ndiyo maana Iko hai leo na inaendelea kukua kwenda mbele..
Hii yote inatokana na uongozi thabiti wa huyu ndugu.
Hata hivyo hayupo binadamu aliye perfect 100% . Hata Mbowe ana mapungufu yake. Lakini it's a fact that mapungufu kiuongozi ya Mbowe yanafunikwa na mazuri ya uongozi wake kwa muda wote alioshika madaraka ya uenyekiti
Hapa una maanisha nini?
Je, una maana Kila mwanachama aliyekaribishwa CHADEMA akitokea CCM na kisha baadae kuondoka zake basi viongozi waliojadili uanachama wake na kuchukua uamuzi wa kukaribisha wanachama haa wanapaswa kijiuzuru.?
Je, hukumbuki kuwa chini ya Mbowe huyuhuyu walikaribisha wana-CCM kibao mwaka kati ya mwaka 2010 na 2015 wakiwemo kina Shibuda kisha wakagombea ubunge na kushinda? Kwanini hutoi credits kwa hilo? Huyu Edward Lowassa ana u - speciality gani hata umtumie kama kigezo cha kum-discredit huyu Mbowe na kutaka ajiuzuru.?
Soma maelezo hapo juu
Hukosei hata kidogo. Ni maoni yako na ni haki yako ya kabisa. Lakini wapo ambao hawatakubaliana na maoni yako. Muhimu ni kuheshimiana you..!!
Yes. You are absolutely right..
Ndio maana nasema, NAHESHIMU MAONI YAKO..
Kama wewe si muumini wa ku - resolve conflicts kwa njia za amani (mazungumzo), then there's something wrong in you.
Huwaamini CCM, it's ok.
Lakini utawakwepaje hawa maana ndiyo walio madarakani, wanaongoza serikali? Ulitaka akaridhiane na nani labda? ACT WAZALENDO? CUF? NCCR MAGEUZI?
Hopefully, kwa wakati wake hilo litafanyika. CHADEMA walio wengi wanajua na Freeman Mbowe mwenyewe anajua..

Kuweni makini, Bi Mkubwa is a very smart politician, kwenye miaka yenu 30 ya mapambano hamjawahi kukutana na mwanasiasa smart kama huyu
Analysis yako imeshiba na nimeieelewa. Maridhiano ni give and take, hakuna winner takes all approach.Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa.
Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo tofautitofauti, Wengi tumeelewa na tulitarajia hotuba kama hii, lakini wapo ambao hawajang'amua hasa wale ambao kwa muda mrefu hawakubaliani na maridhiano, wanaamini Mbowe kakosea vile walivyotarajia iwe pale jukwaani. Walitaraji waone hotuba ya kimapambano ya kimnyukano nk.
Naomba nichukue fursa hii kusema Hotuba ya jana ilikuwa ni kete ya mwisho na ya hatari katika game la kisiasa Chadema vs CCM+Serikali katika mechi iliyoanza tangu Mbowe atoke jela 4 March 2022. Mbowe ameshinda!
Tangu tarehe 4 March 2022, Chadema ilianza game ya kisiasa mezani na ccm na serikali, Mbowe akiwa ameongoza upinzani akiwa na mambo kadhaa mkononi, Moja watu wetu (wanachadema) wote waliokuwa na kesi mahakamani waachiwe huru. Pili waliokuwa jela waachiwe bila masharti. Tatu haki kwa wanachama na watanzania wote waliodhuriwa na kuathiriwa katika utawala uliopita wapewa haki zao. Nne Watu wetu/wanachama walioko uhamishoni wahakikishiwe usalama warudi nchini. Tano mikutano ya hadhara iruhusiwe kwakuondolewa lile katazo haramu. Sita Katiba Mpya na Tume huru, Saba sheria mbovu za vyama vya siasa zirekebishwe/zifutwe. Nane sheria ya vyombo vya habari na sheria za mitandao zirekebishwe (uhuru wa habari). Tisa Usalama wa viongozi wa kisiasa, na Kumi ni kuondolewa Bungeni wabunge haramu (COVID19).
Sasa turudi katika hoja kwanini Mbowe jana kashinda mchezo wa kisiasa? Kwanza ifahamike maridhiano bado yanaendelea na yako katika sehemu muhimu sana sana na yatahadhari, hivyo pande zote mbili Chadema na CCM kila mtu anapokuwa jukwaani au popote anazungumza kwa tahadhari kubwa ili kutovuruga mazungumzo yanayoendelea. Katika Mazungumzo yanayoendelea, Mbowe tayari mambo muhimu 7 katika ya 10 amefanikiwa kushinda katika meza ya mazungumzo, Wanachadema wameachiwa magerezani, Haki za Lissu zimepatikani (matibabu na Usalama wake), Mikutano ya kisiasa imerejeshwa, Wanachadema waliokuwa magerezani wameachiwa, nk. Huu ni ushindi mkubwa kwa Mbowe, Lakini isingempa room ya kurejea kwenye siasa ngumu za mapambano wakati bado mambo makubwa ya kinchi hajashinda, Katiba Mpya na Tume Huru bado yako katika mazungumzo na Rais ameshaonyesha utayari wa kuanza mchakato. Hivyo tamko lololete la kimapambano jana lingevuruga maridhiano yote.
Mchezo wa jana ulikuwa ni defragmenting kwa wale wahafidhina kwanza, na kumfanya mkuu wa nchi awe confirmable na meza ya mazungumzo, katika hilo Mbowe ameshinda, Upande wa ccm wasiopenda maridhiano walitamani sana Mbowe aipige ampige kwelikweli Rais hali ambayo kwao ingekuwa ahueni na mwanya wao kisiasa kuelekea 2025, Hilo limewauma maana Mbowe amewakwepa, Upande wa Chadema wale wasiokubaliana na Maridhiano walitaraji Mbowe aipige sana serikali wakiamini uasili wa Chadema, imekuwa tofauti, Chadema iko kwenye mazungumzo kauli yoyote ya kiongozi wa Maridhiano yenye kuuumiza upande wa maridhiano ingevuruga, Hatutaki tuishie kupata mikutano ya hadhara tu, tunataka kupata Katiba Mpya na Tume huru, hilo ndio lengo mahsusi la Chadema. Diplomatic language imeshinda jana.
Kwavyovyote vile Hata keshokutwa Hotuba ya Lissu akirejea Tanzania itakuwa ya kidiplomasia yenye kupalilia mazungumzo yanayoendelea, tofauti na wahafidhina wanaojaribu kupandikiza chuki ili kuvuruga maridhiano haya. Ni Wazi, Mbowe karata zake katika meza ya maridhiano zimechangwa vizuri na ameokota kete muhimu. Kitu muhimu tunachotakiwa kukielewa Watanzania wote hasa Wanachadema na Wanaccm, Matokeo ya Maridhiano hubadili sura na aina ya siasa. Baada ya maridhiano Chadema na CCM hatutafanya siasa kama za miaka 10 nyuma, tutakuwa na aina mpya ya siasa. Na haya ndio mapokeo sahihi.
Hongera Mbowe, Karibu Lissu. Chadema kupitia nyinyi tutapata Katiba Mpya bila kumwaga Damu bali kupitia njia hii nzuri ya Maridhiano.
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2491265
Umepiga ngumi ya Sogunyo kama ya Mandonga. Wakikujibu niko pale niite mbwaSuala la kuachia madaraka hiyo ni next stage, kwa sasa tukubaliane maridhiano yameleta mikutano ya siasa, na kama maridhiano yameleta mikutano ya siasa, basi pia, muamini yataleta Katiba Mpya na mengineyo ikiwemo Tume Huru.
Mbowe na Chadema wanaipigania, Samia nae kaonesha ushirikiano kwa upande wao, sasa kwanini muendelee kuishi kwa wasiwasi na mashaka kama sio ujinga tu wa kiharakati uliojaa kwenye vichwa vyenu? tena wakati mwingine mpaka kujitungia vijisababu vya vilema!.
Mkiambiwa siasa ni sayansi muelewe, msishupaze shingo na mbinu moja tu ya kukariri ya harakati.
Ukiambiwa uandamane unajificha ndani kwenu, Mange Kimambi anawajuwa vizuri unafki wenu.Mimi sio mtaalam wa siasa ila akitokea mtu anipe success story ya mtawala kufanya maridhiano na mpinzani na bado mpinzani akabaki na nguvu basi nitaungana na wanaosema Mbowe kafanikiwa.
Mimi nna mfano hai wa juzi tu hapa, Kenyatta na Odinga. Odinga alipoteza mvuto kwa wananchi baada ya maridhiano yao. CCM ndio wanufaika zaidi wa hayo mnayoita maridhiano yanayowa-limit kuikosoa serikali.
Hongera kwa uchambuzi mzuri na uliojaa logic kaka.naunga mkono hoja one tanzania one nationHongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa.
Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo tofautitofauti, Wengi tumeelewa na tulitarajia hotuba kama hii, lakini wapo ambao hawajang'amua hasa wale ambao kwa muda mrefu hawakubaliani na maridhiano, wanaamini Mbowe kakosea vile walivyotarajia iwe pale jukwaani. Walitaraji waone hotuba ya kimapambano ya kimnyukano nk.
Naomba nichukue fursa hii kusema Hotuba ya jana ilikuwa ni kete ya mwisho na ya hatari katika game la kisiasa Chadema vs CCM+Serikali katika mechi iliyoanza tangu Mbowe atoke jela 4 March 2022. Mbowe ameshinda!
Tangu tarehe 4 March 2022, Chadema ilianza game ya kisiasa mezani na ccm na serikali, Mbowe akiwa ameongoza upinzani akiwa na mambo kadhaa mkononi, Moja watu wetu (wanachadema) wote waliokuwa na kesi mahakamani waachiwe huru. Pili waliokuwa jela waachiwe bila masharti. Tatu haki kwa wanachama na watanzania wote waliodhuriwa na kuathiriwa katika utawala uliopita wapewa haki zao. Nne Watu wetu/wanachama walioko uhamishoni wahakikishiwe usalama warudi nchini. Tano mikutano ya hadhara iruhusiwe kwakuondolewa lile katazo haramu. Sita Katiba Mpya na Tume huru, Saba sheria mbovu za vyama vya siasa zirekebishwe/zifutwe. Nane sheria ya vyombo vya habari na sheria za mitandao zirekebishwe (uhuru wa habari). Tisa Usalama wa viongozi wa kisiasa, na Kumi ni kuondolewa Bungeni wabunge haramu (COVID19).
Sasa turudi katika hoja kwanini Mbowe jana kashinda mchezo wa kisiasa? Kwanza ifahamike maridhiano bado yanaendelea na yako katika sehemu muhimu sana sana na yatahadhari, hivyo pande zote mbili Chadema na CCM kila mtu anapokuwa jukwaani au popote anazungumza kwa tahadhari kubwa ili kutovuruga mazungumzo yanayoendelea. Katika Mazungumzo yanayoendelea, Mbowe tayari mambo muhimu 7 katika ya 10 amefanikiwa kushinda katika meza ya mazungumzo, Wanachadema wameachiwa magerezani, Haki za Lissu zimepatikani (matibabu na Usalama wake), Mikutano ya kisiasa imerejeshwa, Wanachadema waliokuwa magerezani wameachiwa, nk. Huu ni ushindi mkubwa kwa Mbowe, Lakini isingempa room ya kurejea kwenye siasa ngumu za mapambano wakati bado mambo makubwa ya kinchi hajashinda, Katiba Mpya na Tume Huru bado yako katika mazungumzo na Rais ameshaonyesha utayari wa kuanza mchakato. Hivyo tamko lololete la kimapambano jana lingevuruga maridhiano yote.
Mchezo wa jana ulikuwa ni defragmenting kwa wale wahafidhina kwanza, na kumfanya mkuu wa nchi awe confirmable na meza ya mazungumzo, katika hilo Mbowe ameshinda, Upande wa ccm wasiopenda maridhiano walitamani sana Mbowe aipige ampige kwelikweli Rais hali ambayo kwao ingekuwa ahueni na mwanya wao kisiasa kuelekea 2025, Hilo limewauma maana Mbowe amewakwepa, Upande wa Chadema wale wasiokubaliana na Maridhiano walitaraji Mbowe aipige sana serikali wakiamini uasili wa Chadema, imekuwa tofauti, Chadema iko kwenye mazungumzo kauli yoyote ya kiongozi wa Maridhiano yenye kuuumiza upande wa maridhiano ingevuruga, Hatutaki tuishie kupata mikutano ya hadhara tu, tunataka kupata Katiba Mpya na Tume huru, hilo ndio lengo mahsusi la Chadema. Diplomatic language imeshinda jana.
Kwavyovyote vile Hata keshokutwa Hotuba ya Lissu akirejea Tanzania itakuwa ya kidiplomasia yenye kupalilia mazungumzo yanayoendelea, tofauti na wahafidhina wanaojaribu kupandikiza chuki ili kuvuruga maridhiano haya. Ni Wazi, Mbowe karata zake katika meza ya maridhiano zimechangwa vizuri na ameokota kete muhimu. Kitu muhimu tunachotakiwa kukielewa Watanzania wote hasa Wanachadema na Wanaccm, Matokeo ya Maridhiano hubadili sura na aina ya siasa. Baada ya maridhiano Chadema na CCM hatutafanya siasa kama za miaka 10 nyuma, tutakuwa na aina mpya ya siasa. Na haya ndio mapokeo sahihi.
Hongera Mbowe, Karibu Lissu. Chadema kupitia nyinyi tutapata Katiba Mpya bila kumwaga Damu bali kupitia njia hii nzuri ya Maridhiano.
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2491265
Hawa jamaa wamejaa hoja nyepesi sana, mwishowe wanajiegemeza kwenye vivuli vya vilema, mara haki yao kidemokrasia kutoa maoni yao...Umepiga ngumi ya Sogunyo kama ya Mandonga. Wakikujibu niko pale niite mbwa
Sheria ya vyama vya siasa inamruhusu mtu yeyote, bila kujali rangi, jinsia, na vinginevyo, kujiunga na chama chochote apendacho, ilimradi akidhi vigezo vilivyopo kwenye chama husika atakapokwenda.Nakushukuru kwa maoni yako yenye wingi wa busara. Tuje hapo kwa Lowassa. Nitaanzia hapo hapo kwa Shibuda. Ifahamike Shibuda alikuwa bungeni kama mbunge wa CDM, lakini aliyekuwa hashirikiani na cdm tena kiutendaji. Ilifika mahali tukawa tunajiapiza kuwa tusirudie tena kuokota wañaccm tena kwa njia ya voda Fasta. Mbona 2015 ndio tukafanya kosa kubwa kuliko la huyo Shibuda?
Ifahamike baada ya uchaguzi wa 2010 kuelekea 2015, CDM ndio chama kilichofanya mikutano mingi kuliko vyama vyote ikiwemo CCM? Unajua ndio chama kilichotoa elimu ya uraia, na kupandisha hamasa ya kisiasa katika wakati huo kuliko chama chochote? Wakati yote hayo yakifanyika Lowassa alikuwepo? Je wafuasi wa CDM na wananchi walimchukulia vipi Lowassa? Unafahamu vitambulisho vya kupigia kura viliitwa vichinjio kwa ajili ya kumchinja Lowassa, kwani ilionekana ndio atakuwa mgombea wa CCM? Inawezekana vipi chama makini kumchukua mtu iliyemtumuhumu muda wote huo, na kumpa nafasi adhimu kama kugombea urais? Ina maana hatukujifunza kwa kosa la Shibuda, huoni hoja yangu ilipo? Haya haidhuru tumechukua Lowassa, chama kimeonekana hakina msimamo, tena kwa jambo lililopaswa kupimwa madhara yake, lakini bado mtu huyo huyo akaondoka mbali ya madhara aliyokifanyia chama. Niliache hili maana nina shaka kama utakuwa na majibu ya uhakika.
Tuje kwenye ofisi za chama. Baada ya uchaguzi wa 2015-2020 CDM ilipata wabunge wengi, hii maana yake ruzuku kubwa zaidi. Ifahamike kipindi chote hicho ni kama shughuli za kisiasa zilipigwa marufuku. Ina maana pesa zilizokuwa zikiingia hapo awali kwenye mikutano, hazikuenda tena. Je ni kwanini ruzuku hiyo haikutumika kujenga ofisi angalau 1 kila mkoa ya 50m? Ukiachia ruzuku, sigusii Kiwango ambacho kila mbunge alikuwa anatoa kwa mujibu wa makubaliano yao. Hapo achia mbali pesa zilizotolewa kwa uwazi na kificho kuoa support CDM.
Je katika mazingira hayo, unawezaje kusema mwenyekiti huyo ni bora, na anastahili kufumbiwa macho hata baada ya kukaa muda mrefu?
Pamoja na maelezo hayo, sikatai kwamba mchango wake wa hali na mali umeifikisha CDM mahali pazuri. Na ninaheshimu ukweli huo. Lakini nitakuwa najiongopea mwenyewe kuendelea kuwa na mwenyekiti wa aina hiyo, eti tu kisa wakati fulani huko nyuma alifanya vyema. Ni hatari kubwa kwa taasisi kama hiyo kuwa na mtazamo wa kiongozi wa muda mrefu, kwa kichaka cha siasa za Afrika. Je akifariki hiyo taasisi itakuwa mwisho wake, maana hiyo taasisi haitahamia ulaya? Kama tunaimani hiyo kuhusu Mbowe, ni kwanini tunataka kuitoa CCM, na tunashangaa inaposema haimini kama chama kingine kitaweza kuongoza nchi?