MNATUONA NYANI...!? (in my nyakyusa sister voice)
At that stage pressure ya kuuacha utumishi!!U
Amebakiza mwaka mmoja kustaafu labda wewe uliyeanza kazi juzi ndiyo unapgaga magoti kwa mabosi wako
Bora na sisi TANAPA tupumue baada ya kutoka ili linyakyusa mpigajiWilliam Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Kivipi ?Wanyakyusa hampendani
Anahama na salary yake ulijue hili
Time will tellKwa jinsi hali ilivyo kwenye hilo shirika halina muda mrefu litakua juu yaTime mawe.
DaaahNa huo ndiyo ukweli wenyewe. Nchi hii imejaa watu wasio na utu. Hasa Viongozi wasio Wazalendo. Mwakilema alkataa kuwa uchochoro wa hawa Walafi.
KAPANDISHWA AU KASHUSHWA?William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Gari la Tanapa aliloandoka nalo bwana Kifua limemuondoa, ila wakamrudisha mikononi mwa bwana kifua ili kumzodoa.Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Nchi hii imejaa watu wasio na utu. Hasa Viongozi wasio Wazalendo. Mwakilema alkataa kuwa uchochoro wa hawa Walafi.
KapandaKAPANDISHWA AU KASHUSHWA?
Yuko Mungu msemaji wa mwisho.Gari la Tanapa aliloandoka nalo bwana Kifua limemuondoa, ila wakamrudisha mikononi mwa bwana kifua ili kumzodoa.
Dah tutakumiss sana
Na wewe unashindwa nini kuringia wadhifa wako kama unao. Ringa na wewe kama unadhani ni rahisi hujakatazwa.Ha ha ha !
Mkuu mimi nampongeza mama Samia kwa kumuoana huyu jamaa na utopolo ndani ya TANAPA.
Naona unamdhihaki huyu Mwakilema, kaporomshewa jumba bovu kama huna habari.
Alikuwa anaringia wadhifa wake unaofadhiliwa na World Bank.
Kwa nini asiamke tena yuko imara na ameshakabidhi ofisi mapema asubuhi akiwa na nguvu na afya njema kabisa.Ameweza kuamka kweli asubuhi hii?
Nitaringa nina nini miye, zaidi ya kubwabwaja mitandaoni.Na wewe unashindwa nini kuringia wadhifa wako kama unao. Ringa na wewe kama unadhani ni rahisi hujakatazwa.
ASKARI WA TANAPA ANAEANZA LEO AKIWA FORM 4 NA CHETI CHA JKT analipwa 1.7 m au akiwa amepitia pasias
Watamshangilia kuwa kapata uteuzi but in real sense kimasirahi imemega kwake, title sawa! Anaacha OC ya B1, Dev B 12 hadi Oc ya Mil 3, Dev 0. Anaenda kupiga magot kwa DED!