Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

Attachments

  • IMG-20231003-WA0013.jpg
    IMG-20231003-WA0013.jpg
    86.4 KB · Views: 3
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
Bora na sisi TANAPA tupumue baada ya kutoka ili linyakyusa mpigaji
 
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .

Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa uteuzi huu wa kupandishwa , Mungu amuongoze kwenye majukumu yake mapya .
KAPANDISHWA AU KASHUSHWA?
 
Dah tutakumiss sana

Ha ha ha !
Mkuu mimi nampongeza mama Samia kwa kumuoana huyu jamaa na utopolo ndani ya TANAPA.
Naona unamdhihaki huyu Mwakilema, kaporomshewa jumba bovu kama huna habari.
Alikuwa anaringia wadhifa wake unaofadhiliwa na World Bank.
Na wewe unashindwa nini kuringia wadhifa wako kama unao. Ringa na wewe kama unadhani ni rahisi hujakatazwa.
 
Watamshangilia kuwa kapata uteuzi but in real sense kimasirahi imemega kwake, title sawa! Anaacha OC ya B1, Dev B 12 hadi Oc ya Mil 3, Dev 0. Anaenda kupiga magot kwa DED!

Anahama na mshara wake. Why? Sababu haja request kuhama. Ila amehamishwa so kisheria wataendelea kumlipa vile vile isipokuwa tu marupu rupu hayotokuwepo tena
 
Back
Top Bottom