Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

mbona kupata mtoto siku hizi ni rahisi tu wengi tu wanalea watoto si wao.. unamlipa msela anakusaidia kupiga mashine ikiwa unajua huwezi pata mtoto.. kama una pesa basi mbegu za kidume mwingine zinapandikizwa kwenye yai la mkeo anazaa vyema kabisaaa
 
mbona kupata mtoto siku hizi ni rahisi tu wengi tu wanalea watoto si wao.. unamlipa msela anakusaidia kupiga mashine ikiwa unajua huwezi pata mtoto.. kama una pesa basi mbegu za kidume mwingine zinapandikizwa kwenye yai la mkeo anazaa vyema kabisaaa
Ndicho kilichofanyika kwa huyu grace mugabe wa bongo
 
Yan makonda akipita humu ataondoka na tenga la wake mpaka vidume
 
Hongera Daudi Albert Bashite kwa kupata mtoto wa kiume ,KEAGAN amepata Binamu zake KEANU na KENZO.
 
Acha walopoke, siku Makonda akimwonyesha live, chata ni yake, hawa hawa watadai ni wa kaka ake .
Wazazi wa makonda walitangaza kwenye TV kuwa wana mtoto mmoja tu Makonda basi hivyo hana wa kumsaidia kupata mtoto.
 
Najaribu kupiga Picha maisha ya mtoto baada ya Sizonje kumaliza awamu zake, na pale tume zitakapoundwa kufuatilia watu waliopotea ma miili ilitokootwa kwenye viroba, na ile kesi ya kughushi na kutumia vyeti vya mtu mwingine. Napatwa na huzuni na mustakabali wa mtoto
 
Wabaya wake wanalijua hilo ?
Wanalijua sababu mimi niliwaona kwenye U Tube ina maana mtu akitafuta atawaona wanavyojisifia kuomba na walivyopata. Hii ni baada ya Bashite kuwa DC kabla ya RC.
 
Hongera sana Daudi Albert Bashite kwa Baby Boy,hongera sana Maria kwa mtoto,mungu amkuze na hasirithi tabia za baba yake amche mungu,awe mpole kama wewe.
 
Hongera mdogo wangu daudi bashite from kolomije jpili njoo kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa kaka yako gwajima akuombee
 
Kwa sababu mtu kapata katoto kamoja ka test tube baby akiwa Na miaka 42? Acha undezi
Mungu hadhiakiwi...! Vyote vilivyomo duniani ni mali yake. Chagua maneno vizuri ya kutumia mahali popote hapa duniani. Una bahati sana umepata furusa ya kukumbushwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…