Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

Bado kwenye suala la kukatikakatika umeme. Hapa hivi natype, umeme umekata na kurudi! Kyela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tindo bila kuwa na political will hili jambo ni gumu. Lazima umpongeze JPM.
Kumpongeza mtu anapofanya vizuri ni kitu kizuri hata kama ni wajibu wake na analipwa. Hii humwongezea motisha. Ndiyo sababu hata wachezaji akina Messi wakifanya yao uwanjani huwa wanashangiliwa ilhali wanayo mishahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii ni laana! Watanzania tumwogope Mungu!! Yani kuleta malori tani 1500 tu tena kwa kuazima kwa jirani eti hongera kwa kutatua tatizo sugu!!

Kwa hiyo tatizo sugu la Sukari limeshatatuliwa?
 
Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision-makers if that's all it takes to make it a better place for humankind... by chige.
MAGUFULI JP
 
Hiyo kinyerezi ||| amejenga baba yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Nyerere
 
Miaka yote kodi zimekuwa zinalipwa. Ila mambo aliyoyafanya JPM yanastahili pongezi. Maana amejitoa, na kusema ukweli sio kumsifia mtu. Hayo ya Benito na Hitler ni mifano mfu.
Sana sana amejitoa kutuibia. Ziko wapi Tsh 2.4 Trilion anazoziulizia CAG wa ukweli
 
Usitoe pongezi kwa mtu asiyehusika. Mgao wa umeme ulidhibitiwa siku nyingi kabla ya 2015. Ni wakati ambapo prof Muongo alipokuwa waziri wa nishati. Alidhibiti mpaka gharama za kuweka umeme majumbani, maana wakati huo kabla yake nguzo moja tu mtu alitakiwa kuilipia sn milioni 1. Alipoteuliwa kuwa waziri aligundua kuwa nguzo zinatoka humu nchini zinaenda nje kisha tumauziwa sisi wenyewe. Hayo aliyasema bungeni na akayadhibiti, gharama za umeme zikashuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision-makers if that's all it takes to make it a better place for humankind... by chige.
MAGUFULI JP
Signature yangu inahusiana vp na mada hii?!

Siku mradi wa Stiegler ukikamilika na kuleta matunda ndipo signature yangu itakuwa sawa kwake kwa sababu to run Stiegler's Gorge Project wakati tuna gas ya kumwaga ambayo economic impact yake ni kubwa maradufu ya hydropower project, of course, that needs crazy decision and crazy decision-makers.

But also don't forget my conclusion kwenye signature "...if that's all it takes to make it a better place for humankind".
 
Una uhakika?
 
We ni mfuatiliaji mzuri sana wa masuala ya umeme! Na to be honest, pamoja na scandal ya Escrow, kwangu Muhongo ndie alikuwa my best candidate kwa uchaguzi wa mwaka 2015; na alini-impress kutokana na alivyoshughulikia vema issue ya umeme na gas kule kusini!

Mimi nakumbuka Bush kwetu ilikuwa tuwekee umeme mwaka 1991 lakini ikashindikana hadi mwaka 2014; WHY? Kwa watu wa pwani miaka ile minazi kwao ilikuwa ni kama ng'ombe kwa Mmasai!

In short walishindana kwenye malipo ya kukata minazi!

Muhongo alipoenda mwaka 2014 hakutaka kuremba... akawaambia wazi tunaleta umeme na hakuna atakayelipwa hata senti 5 kwa ajili ya minazi yake; na kama hamtaki, tunawaruka tunasonga mbele!!

Ni spirit ile ile ya Muhongo ndiyo imebadilisha Tanzania mzima; halafu leo wanakuja watu eti Magufuli ndo katatua tatizo la umeme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…