Willard Jonnes
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 361
- 753
Wew ni chizi au wazazi wakoKuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.
Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.
Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!
Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.
Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.
Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?
Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.
Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
na HAITAONGOZWA hata siku moja na CHADEMA wa TLP labda vije vyama vingine visivyo na ukabila au uMwinyiKwani kabla ya hapo nchi ilikuwa inaongozwa na CHADEMA au TLP?
achana na Chige akili yake ni ya wale wanaopinga kila kitu akishirikiana na mamluki wa UbelgijiKama wewe unaona hakufanya juhudi kudhibiti mgao wa umeme kalisha makalio kimya. Official data hizo ni official data au upuuzi. Kwani sisi hatuoni kuwa hakuna mgao sasa hivi.
Je asingelifanya? Tusingelimlaumu ama tungelimlaumu mkuuMgombea u-Rais alipokuwa anaomba kura mwak 2015 alitoa AHADI kuwa nitafanya haya na haya. Wapiga kura wakalinganisha kati ya yeye na mpinzani then wakampa yeye kura akashinda. Sasa anatekeleza yale aliyo YAAHIDI ambayo ni wajibu wake, SWALI, kwa nini nyie mnataka TUMSIFIE 24/7? isitoshe kila mradi anaoutekeleza anatumia kodi zetu sisi wenyewe, kwa nini mnakomaa mishipa KUMSIFIA?
Wanaotaka KUSIFIWA wana dalili zote za UDIKTETA na hivyo ndivyo alivyokuwa Adolf Hitler na Benito Mussolini
Kwa hili la umeme mh.raisi kajitahidi Sana Mungu amtie nguvu zaidi na zaidi.Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.
Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.
Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!
Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.
Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.
Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?
Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.
Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
Shehena ya kutosha imeshaingia. Hakuna mgao tena wa sukari.Mgao wa Umeme umepungua ila mgao wa Sukari ndio kwanza umeanza tunaigia kwenye resheni za sukari kama wakati wa Mchonga meno
Je kipindi kile wakati wanalipia alafu haupatikani? Majenereta yalikuwa yanaunguruma Tanzanian nzima.Sitaki wapewe bure ndio maana nimesema wanaupata baada ya kuulipia. Sasa kama huduma unapata kwa kuilipia unamsifu nini msimamizi wa hiyo huduma?
Lindi na MtwaraWapi kuna mgao wa umeme kama enzi zile za Richmond na Dowans.
You must be kidding unless una chumba kimoja ua huna vitu vya umeme, kwangu hiyo ni bill ya siku 5 mpaka 6UMEME HAUKATIKI KABISA
Kwani wewe upo Nchi gani, ulishawahi kuona magenerator yakinguruma Maduka yote mwezi mzima na Kidatu, mtera maji yamejaa? Ungeweza kushinda JF km leo simu full charge na computer hazizimwi tunashusha mavitu usiku kucha?
Hapo huna Shukrani kabisa kwa Magufuli, ulizia Nchi jirani zinavyolia na mgawo
Mm sitamsahau huyu jamaa nalipia kwa mwezi sh 9,500. @ mwezi na ninawasha kila kitu 24hr/7/30/mwaka nipo mwaka wa 4 sijazima
Yatakuwa ni matatizo madogo tu ya kiufundi. Mbona kiwanda cha Dangote kinafanya kazi vizuri?Lindi na Mtwara
Shehena ya kutosha imeshaingia. Hakuna mgao tena wa sukari.
Ni ujinga wako tu huo Mkuu, km hujui malipo ya kila mwezi yameondolewa kacheza na Tarrif la utaumia sana, Nenda Tanesco wakakurekebishie Tarrif upate Unit chini ya 100 km huna mashine ya kusagaYou must be kidding unless una chumba kimoja ua huna vitu vya umeme, kwangu hiyo ni bill ya siku 5 mpaka
Je kipindi kile wakati wanalipia alafu haupatikani? Majenereta yalikuwa yanaunguruma Tanzanian nzima.
Kwa mantiki hiyo lazima tumpongeze JPM.Ndio maana watu walipiga kelele.
Sukari ipo bandarini anataka kulazimisha iwahi. Huyu nae ana matatizo si watumie iliyopo? Hawa ndio wanaomharibia kazi JPMWenzako wanavifungia viwanda na Maelfu ya wafanyakazi wanapoteza ajira zao
kwa hili nakubaliana na wewe kabisa, hata ufipa wakikataa ila ukweli utapabi pale pale Mataga.Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.
Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.
Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!
Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.
Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.
Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?
Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.
Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
Kwa mantiki hiyo lazima tumpongeze JPM.
Mie situmii umeme wa bure, sijui mwenzangu unapata wapi umeme wa free, itabidi Tanesco wakufuatilie, nyie ndio wezi wa umeme mnaolitia hasara shirika letu.na HAITAONGOZWA hata siku moja na CHADEMA wa TLP labda vije vyama vingine visivyo na ukabila au uMwinyi
Umeme sasa ni free kwa bei ya chini tofauti na majirani zetu
Huko ni kupinga kila jambo. Sio siasa za kileo.Ukitaka unaweza kumpongeza na usipotaka ni sawa pia. Ila usingekuwepo tungepiga kelele kama zote maana ni haki yetu na si hisani ya huyo JPM.