Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mwamba Magufuli hakuwahi kuwa na chuki na sisi watu wa Kagera. Kwa taarifa yako, ziara yake ya mwisho Kagera kabla hajafariki aliahidi akistaafu ataishi kwenye shamba lake la mifugo lililoko Kitengule, Missenyi, Kagera. Wewe unaweza kuishi na watu usiowapenda?Vicky Kamata alimkataa JPM wakati anataka kula mzigo, basi vita ikaanzia hapo, Mulamula inatokana na chuki kubwa ya JPM kwa watu wa Kagera