Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Vicky Kamata alimkataa JPM wakati anataka kula mzigo, basi vita ikaanzia hapo, Mulamula inatokana na chuki kubwa ya JPM kwa watu wa Kagera
Mwamba Magufuli hakuwahi kuwa na chuki na sisi watu wa Kagera. Kwa taarifa yako, ziara yake ya mwisho Kagera kabla hajafariki aliahidi akistaafu ataishi kwenye shamba lake la mifugo lililoko Kitengule, Missenyi, Kagera. Wewe unaweza kuishi na watu usiowapenda?
 
Punguza kujua usiyo yajua.

Mbona Dr Mwele alienda?
Mimi najuwa kuliko wewe MBURURA. Nafasi ya Dr Mwele haikuhitaji endorsement yake. Level aliyoingilia Mwele inahitaji CV yako na refrees tu. Na kama ungekuwa na akili nzuri ungekumbuka kuwa hata Dr Mwele Malecela alipokuwa WHO bado DIKTETA alimpiga vijembe kuwa "sisi tumemtoa huku, nashangaa watu wengine wamempa kazi".
 
Ha walikuwa wahunii tuuu na kabla ya hapo walijitengenezea mirija na mfumo

Hivyo kazi kubwa aliyokuwa nayo MZALENDO WA PILI NI KUKATA MIRIJA HIYO.

Dr Faustine Ndungulile hana makandokandoo
Taja makandokando yao hapa, kinyume chake utakuwa unaropoka kama bata mwenye kideri anayehara
 
Kama walikuwa hawamuheshimu kama Bosi wao kwanini awa endorse? Baba Raila baada ya kuwa na nia ya kugombea Uwenyekiti wa Sekretariati ya AU, alianza kujisogeza karibu kwa Rais Ruto ili amu endorse. Unakumbuka alimuunga mkono Rais Ruto dhidi ya Wahuni wa Gen Z kinyume Cha matatajio ya wengi. Jana kafanyiwa "Sherehe Maalum" ya kum endorse na kumpigia kampeni huku viongozi wengi wa Afrika wakihudhuria.

"Ukitaka kula, sharti uliwe"... Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Sasa jifanye kichwa ngumu halafu utegemee ulaji kwa watu haohao unaojifanya kichwa ngumu kwao uone!!!
Kuna wema ukiufanya hata kwa adui yako unaondoka na point 3. Imagine JPM angempigia kampeni Membe akashinda hiyo nafasi nini kingezungumzwa.
 
Ufurahie kwa kuwaibia wananchi maskini hela zao.Magufuli shujaa aliwazuia kutanua na kodi zetu.Mmepata uhuru sasa mmevimbiwa
 
Watu hawana akili kweli!
Elimu yake ndiyo iliyomfikisha hapo alipo.
Kule hakuna mambo ya kisiasa, taaluma yake ndiyo iliyomfikisha hapo.
Mambo ya hongera nani sijui hayana maana.
Apewe hongera Dr Ndungulile.
 
Sijazuia au sitetei. Vijana lazima ujue kurudia rudia hakujengi ila kunaonesha ulivyo na mihemko. Hakuna mtu ambaye alipendwa na wote au kuchukiwa na wote. Aidha hakuna binadamu ambaye hafanyi makosa, makosa ndiyo ubinadamu. Ila kurudia rudia ni ukosefu wa hoja mujarab

So misikitini na makanisani waache kurudiarudia kutaja uovu wa shetani
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
Kwa hiyo yeye hakuiibia nchi? Kama waliibia nchi alishindwa nini kuwakamata na kuwafungulia mashitaka?
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Yule Jamaa alikuwaga na roho mbaya balaa kama mchawi much know

View: https://www.instagram.com/p/C_Lz0F5tPCe/?igsh=MWVjbGZsd2g2YnJ1bg==
 
Mwamba Magufuli hakuwahi kuwa na chuki na sisi watu wa Kagera. Kwa taarifa yako, ziara yake ya mwisho Kagera kabla hajafariki aliahidi akistaafu ataishi kwenye shamba lake la mifugo lililoko Kitengule, Missenyi, Kagera. Wewe unaweza kuishi na watu usiowapenda?
Hilo shamba alidhulumu watu wa ranch, sio la kwake, hata kiwanda cha maziwa alichozindua siku hiyo ana hisa na huyo jama wa kahama
 
Lini Waitalia wakamsahau Benito Mussolini?
Lini Wajerumani wakamsahau Adolf Hitler?
Lini CAR wakamsahau Jean Bedel Bokassa?
Lini Uganda wakamsahau Iddi Amini Dada?
Kwa Nini unataka tumsahau wa kwetu?
Akili mbovu hizi,Benito aliua more than 400,000 bila kificho,Adolf hitler more than 6M jews executed bila kificho,Bokassa mamia walikufa by his direct order the same as Idd Amin.Magufuli udikteta wake mnautafuta kwa tochi za propaganda.Bro nadhani hujui wat it feels like kiongozi akiwa dictator msingeweza kulala na kujamba ucku kama Magu angekuwa dikteta kama hao mliowataja.
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Huo ni ujinga kusema Magufuli aliwazuia. Wewe mwenyewe choka mbaya na huna access yoyote ya taarifa za ikulu. Umeshiba magimbi ya wang'ing'ombe unakuja kuandika Magufuli aliwazuia . Jinga kweli wewe
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa

Ametutuoa kimasomaso kwa maana duuh!

IMG_20240824_065438.jpg

Huku kuwa kichwa cha mwenda wazimu ni laana!
 
Hilo ni kweli, lakini wahenga pia hawakukosea waliposema, "An eye for an eye".
Leo hakuna jicho kwa jicho kuna rejea. Baadae huko mbele rejea inaendelea kuwepo.

Ni sawa na mtoto anayemkosea adabu baba na baba akaamua kumfukuza nyumbani, akifanikiwa huko nje baada ya muda rejea itakayobaki ni alikataliwa na kufukuzwa na baba mzazi si kukosa kwake adabu.

Kama tatizo lilikuwa ni kukosa adabu binafsi naona kuwanyima ile fursa ya kuwakilisha nchi ni kutengeneza rejea hasi against wewe mwenyewe sababu kitakachokumbukwa ni mwenyekiti aliyewanyima wanachama wake Fursa kama Stuxnet anavyowakilisha hisia zake.
 
Back
Top Bottom