Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

Leo hakuna jicho kwa jicho kuna rejea. Baadae huko mbele rejea inaendelea kuwepo.

Ni sawa na mtoto anayemkosea adabu baba na baba akaamua kumfukuza nyumbani, akifanikiwa huko nje baada ya muda rejea itakayobaki ni alikataliwa na kufukuzwa na baba mzazi si kukosa kwake adabu.

Kama tatizo lilikuwa ni kukosa adabu binafsi naona kuwanyima ile fursa ya kuwakilisha nchi ni kutengeneza rejea hasi against wewe mwenyewe sababu kitakachokumbukwa ni mwenyekiti aliyewanyima wanachama wake Fursa kama Stuxnet anavyowakilisha hisia zake.
Lakini usimwamini sana Stuxnet. Anamlaumu Mwamba Magufuli eti aliwatilia mtima nyongo akina Membe wakati huohuo anaunga mkono akina Mdee wafukuzwe Bungeni! Ahahahahaha! Kwani wakibaki hadi mwakani sio ndio falsafa ya rejea hiyo unayosema?
 
Ha
JPM anaingiaje hapa?

Yani pamoja na kwamba hayupo Dunini lakini bado mnateseka nae

Kweli chuma kiliwakomesha HAMKISAHAU HAHHAAAH

Halafu punguza ichawa mpe hongera Ndungulile na sio samia
Hakusainii barua zao Kwa roho mbaya na wivu TU!
 
Hivyo ni vitalu, walikuwa wanapangishwa wafugaji, yeye akamwambia waziri afanye uhakiki wa vitalu, halafu akawapunguzia wengine mqeneo yao, yeye akajibebea hekta 10,000, usiongee kama umekatwa kichwa, hata mkutano wa hadhara wa JPM hapo Karagwe nilikiwepo, na aliongelea hata daraja fulani hapo
Kwahiyo ulipokuwepo kwenye mkutano ndio ukamuona anakaa eneo anajichukulia? Au ndipo aliposema na Mimi nimejichukulia eneo? We vipi?

Vitalu vilikuwa vinagawiwa kwa yeyote mwenye kutimiza masharti. Yeye kama alivyo ndugu yangu walitimizia masharti ya kumiliki. Tatizo nini? Juzi hapa tunakula gonja hapo Kyaka na ndugu yangu huyo na mwekezaji mwenzake sikusikia wanazungumzia maeneo yao kumegwa na kupewa Mwamba Magufuli. Lakini wewe "third party" ndulu kuzidi wafiwa! Ahahahahaha!!!
 
View attachment 3081119 Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.

Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa.

Magufuli alikuwa na roho mbaya ambayo hata shetani alikuwa anamshangaa
Ndugulile namkubali sana !
 
Lile lilikuwa ni shetani halisi.
Jitu halikupenda kabisa watu wafurahie maisha
Kwa hiyo sasa hivi unafurahia maisha?

Iambieni hiyo chura kiziwi yenu ipunguze gharama za maisha!

Yani sasa hivi ukitaka kununua kitu mtandaoni kwa dola 300 uwe na laki 9?
 
Vicky Kamata alimkataa JPM wakati anataka kula mzigo, basi vita ikaanzia hapo, Mulamula inatokana na chuki kubwa ya JPM kwa watu wa Kagera
Uko deep Mkuu, halafu wajinga humu wanasema sijui taarifa za kiinteligensia??
 
Hakua na roho mbaya aliwajua ni ma sellout, kama huyu alikua anatumika kwenye propaganda za covid hayat akaruka naye mazima na saiv kala shavu WHO
Huyu alitoa siri ya kifo cha Mbunge Ndassa wa Sumve aliyefia Dodoma hotel akijifukiza. Alitoa sababu za kitaalamu kuwa ukijifukiza mvuke wenye nyuzi joto 100°C halafu umejifungia chumbani, na uwezo wa joto la mwili ni 38°C lazima upate shida including mishipa kupasuka.

Magufuli hakutaka kusikia ukweli huu ndipo akamtoa Afya
 
Mwamba Magufuli hakuwahi kuwa na chuki na sisi watu wa Kagera. Kwa taarifa yako, ziara yake ya mwisho Kagera kabla hajafariki aliahidi akistaafu ataishi kwenye shamba lake la mifugo lililoko Kitengule, Missenyi, Kagera. Wewe unaweza kuishi na watu usiowapenda?
Kuna Kagera ya Wanyambo na Kagera ya Wahaya, wewe ni wa pande ipi?
 
Una chuki sna na Dr magufuli sijui alikutumbua nn kwa vyet feki
Haya madini ninayomwaga siyo ya vyeti feki. Give me respect. Isitoshe Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD FEKI. Ben Saanane alipohoji AKAMUUA
 
Watu hawana akili kweli!
Elimu yake ndiyo iliyomfikisha hapo alipo.
Kule hakuna mambo ya kisiasa, taaluma yake ndiyo iliyomfikisha hapo.
Mambo ya hongera nani sijui hayana maana.
Apewe hongera Dr Ndungulile.
Ni mtazamo tu mkuu. Ila kumbuka bila ruhusa ya Rais wa nchi huwezi toboa hata uwe na akili kama Albert Einstein.

Hiyo siyo kama kazi yako wewe ya ukarani wa Halmashauri unaomba tu Sekretariati ya ajira
 
kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote
Raila hana uadilifu? Are you our of your mind. Raila ni baba wa siasa za Kenya tokea 1992 alafu unasema hana sifa? Uchafu gani alionao si uutaje hapa. Tatizo mmejaa chuki tu hamuamini kama mpinzani anaweza pigiwa kampeni na chama tawala maana mlizoea ukatili wa JPM.
 
RIP shujaa Magufuli yatasemwa mengi but atabakia kuwa the best of all.

Hongera sana Dr ndugulile

Watu washaibia Nchi vya kutosha unawapeleka huko kufanya nini ?

Ni kama Kenya kwa Raila sasa hivi AU , mtu hana uadilifu wowote just kujulikana unampeleka huko akafanye nini ?

Mambo ya kubebana kwenye hamna kwa JPM hayakuwa na Nafasi .
As long as Magufuli alipendelea Chato sitomkubali kamwe. Ni rais wa kwanza kuipasua nchi. Na mama anaendeleza mambo aliyoanzisha Magu.Kizimkazi ndio Chato mpya na wazanzibari ndio wasukuma wapya. Kuirudisha nchi enzi za Mkapa inahitaji nguvu kubwa sana. Aliemnasa vibao Jaji Warioba leo hii ni mkuu wa mkoa. Mkwe wa rais ni waziri. Enzi za Magu mabinamu walipewa Uwaziri. Ipo siku bomu la wasomi wasio na ajira litalipuka. Mimi siwakubali wote Mama na Magu,ila cha muhimu zaidi Magu ndiyo aliyeonyesha nguvu ambayo katiba inampa Rais. Haya anayofanya Mama yatarudiwa na Rais anayekuja na yataendelea mpaka jambo kubwa lifanyike.
 
Akili mbovu hizi,Benito aliua more than 400,000 bila kificho,Adolf hitler more than 6M jews executed bila kificho,Bokassa mamia walikufa by his direct order the same as Idd Amin.Magufuli udikteta wake mnautafuta kwa tochi za propaganda.Bro nadhani hujui wat it feels like kiongozi akiwa dictator msingeweza kulala na kujamba ucku kama Magu angekuwa dikteta kama hao mliowataja.
Magufuli naye aliua zaidi ya 300 na akawatupa kwenye viroba baharini. Binadamu ana nafasi moja tu ya kuishi ukimnyamg'anya uhai unakuwa umemdhulumu kitu alichopewa na Mungu.

Kwa hiyo haijalishi Adolph Hitler aliua watu milioni 6 na Magufuli 300 wote wana dhambi sawa.
 
WE BWEGE MNO.

HUWEZI UKATEUA VILAZA KWENDA KIMATAIFA.

MAJIZI LAZIMA YABAKI HUMU HUMU TUPAMBANE NAYO HAKUNA KWENDA URAYA.
 
Huo ni ujinga kusema Magufuli aliwazuia. Wewe mwenyewe choka mbaya na huna access yoyote ya taarifa za ikulu. Umeshiba magimbi ya wang'ing'ombe unakuja kuandika Magufuli aliwazuia . Jinga kweli wewe
Mimi siyo choka mbaya. Nina ajiri wajinga wajinga kama wewe 20 kwenye shughuli zangu. Njoo na wewe nikupe ajira uache kumtegemea marehemu
 
Back
Top Bottom