Leo hakuna jicho kwa jicho kuna rejea. Baadae huko mbele rejea inaendelea kuwepo.
Ni sawa na mtoto anayemkosea adabu baba na baba akaamua kumfukuza nyumbani, akifanikiwa huko nje baada ya muda rejea itakayobaki ni alikataliwa na kufukuzwa na baba mzazi si kukosa kwake adabu.
Kama tatizo lilikuwa ni kukosa adabu binafsi naona kuwanyima ile fursa ya kuwakilisha nchi ni kutengeneza rejea hasi against wewe mwenyewe sababu kitakachokumbukwa ni mwenyekiti aliyewanyima wanachama wake Fursa kama
Stuxnet anavyowakilisha hisia zake.