Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

Vijana hawa hawa wanaojifunga mabomu na kujilipua? Hawa magaidi? Inafikirisha
Na ukumbuke hayo mabomu wanayojilipulia hutengenezwa na wakristoπŸ˜‚πŸ˜‚marekani ,,kwhy tuanze kumlaumu mtengenezaji kabla ya mtumiaji
 
Nenda bar kahesabu katika waumini wa kikristo na waislamu ...Ninaposema waumini ni wle dini sana wanaenda kanisani na msikitini sio majina ..Then njoo uniambia Nan ni wengi?
Hili lipo wazi kabisa yaan wakristo jpil wakitoka church break ya Kwanza bar ... Hakuna muislamu atatoka msikitn awahi bar baada ya sala ya ijumaa...never
 
"Na wala halingani sawa kipofu na mwenye kuona, wala giza na nuru, wala {hakilingani sawa} kivuli na joto, wala hawalingani walio hai na maiti, hakika allah humfanya asikie amtakaye na wala wewe si mwenye kuwafanya wasikie walio makaburini."

Qur'an 35:19-22
 
Uaminifu ndio hoja.
Kama tunashindwa kuwa waaminifu Kwa kufuata yaliyomo kwenye Misahafu yetu mpaka inafikia kipindi MTU anaanzisha na dhehebu linalopingana na Aya za Biblia huoni mpaka hapo tunashida?
UAMINIFU (TRUSTWORTHY, HONESTY OR INTEGRITY), NI KUFANYA JAMBO SAWA NA ULIVYOAHIDI AU ULIVYOAMBIWA KUFANYA. AIDHA, UAMINIFU NI KUSEMA AU KUTETEA UKWELI (TRUTH) HATA KAMA UNAUMA AU UNAKUDHURU.

MTOTO AKIULIZWA NANI KAKOMBA MBOGA? AKISEMA NI YEYE, HATA KAMA ATAPIGWA, HUYO NI MWAMINIFU. UAMINIFU NI "UJASIRI" WA KUITETEA KWELI HATA KAMA UTAPATA ADHABU.

UAMINIFU NI PAMOJA NA KULIPA DENI ULILOKOPA PASIPO KUPIGA CHENGA AU KUTOLIPA KABISA. HIYO NI DHULUMA.

HAINA TOFAUTI NA UPORAJI AU ULAGHAI. ASIYELIPA DENI NAYE NI JAMBAZI, HATA KAMA HAJATUMIA NGUVU AU SILAHA. ANATUMIA SILAHA YA MANENO MATAMU YA KUKOPA NA KUAHIDI KUREJESHA, KUMBE SI MANENO MATAMU BALI NI SUMU YA UPORAJI!
 
Mkuu umenena vyema kbsa...
Siku zote ukiona dini inafanywa kuwa nyepesi kwa ku modify baadhi ya sheria ujue ishakua ya kitapeli

Kumodify baadhi ya sheria zipi??
 
SI KWELI WALAHI
 
Naelewa sana maana ya kuwa mkristo, sasa kama ukristo haufuati tabia za kristo tunasemaje..

Mbona huwa mnasema kuna uislam na waislam!!!
Iweje wakristo ndio ukristo[emoji16][emoji16]

Mind you hakuna ukristo unamfundisha mtu wizi au utapeli,kimaro kama hajawahi kukutana na wakristo waaminifu hilo ni swala lake hatumpingi,lakini hatuwezi chukua sample yake kama general conclusion.
 
Na ukumbuke hayo mabomu wanayojilipulia hutengenezwa na wakristoπŸ˜‚πŸ˜‚marekani ,,kwhy tuanze kumlaumu mtengenezaji kabla ya mtumiaji
Wewe kweli akili mbovu. Hujawahi waona na mabomu yao ya kutengeneza kienyeji? Wanatengeneza wenyewe. You think ni rahisi kwa mtu kuacquire mabomu kirahisi rahisi without attracting attention?
 
Mkuu umenena vyema kbsa...
Siku zote ukiona dini inafanywa kuwa nyepesi kwa ku modify baadhi ya sheria ujue ishakua ya kitapeli
Kwahiyo mpaka leo hii tuendelee kuaminishana kuwa jua linazama kwenye matope?🀣🀣
 
Wakristo ibada ni jumapili au jumamosi kiongozi.

Siku za kati hapa ni kuhangaika tu,sasa ulitaka wote waingia msikitini na kufunga frem??
 
Dunia hii imejaa watu fake fake tu.

Ni jambo la hatari mchungaji wa taasisi kuwa na fikra za namna hii.
 
Hili lipo wazi kabisa yaan wakristo jpil wakitoka church break ya Kwanza bar ... Hakuna muislamu atatoka msikitn awahi bar baada ya sala ya ijumaa...never
Wanapoza machungu ya neno wanavyosema.
 
Uaminifu ndio hoja.
Kama tunashindwa kuwa waaminifu Kwa kufuata yaliyomo kwenye Misahafu yetu mpaka inafikia kipindi MTU anaanzisha na dhehebu linalopingana na Aya za Biblia huoni mpaka hapo tunashida?
Islamic state, al shabab, boko haram wanafata quruan inachoagiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…