TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Walipa Kodi Wenye Nchi na Wenye Katiba Inayotaka Iheshimiwe. Bunge Linaipangia Serikali Jinsi ya Kuzitumia, Magufuli anadhani Yeye Ndiye anayetoa Fedha Kwa Kuwa Hata Bdgeti haiheshimu, anachukua Pesa za Mikopo ya Wanafunzi na Madawa anaenda Kunulia Ndege kwa Ushamba tu, halafu Kesho anawaambia wanafunzi wasimpush! Kisha wanaanza Kuwaambia Wengine hawajafikia Kiwango cha Kupewa Mikopo Kwani hawasomi Sayansi ya Mafuta ya Korosho!HIVI ANALIPA BUNGE NA MAHAKAMA HELA NANI?
Kwa maoni yangu maswali mazuri yalikuwa mawili tu, la sammy awadhi wa bbc na pascal mayala.Binafsi katika maswali yote hilo la Paschal Mayalla nililipenda sana. It was a critical question.
Akanikumbusha pia enzi zile anaeendesha kipindi cha KITIMOTO.
Hongera Pascal Mayalla
Naomba Musisahau Sio Pasco wa JF, Ni Pasco Mayalla wa Kiti moto cha Enzi zileeeee! Huyu wa JF Ni stooge wa Lumumba!Bora hao waandishi/watangazaji uchwara wote wangeondolewa na kuachwa Pasco tu ambaye angeuliza maswali ambayo Watanzania wengi tungependa kuyasikia yakiulizwa. Hongera Pasco omba 90 minutes za uso kwa uso nyie wawili tu lakini wakishaona humu JF tunakusifia sana watakuingiza kwenye kundi la adui yao.
Nahisi aliyemwalika atatumburiwa!Ahsante sana
Muandishi wa kujitegemea umeuliza maswali ya msingi sana bila kuogopa wala kujikombeleza upate uteuzi wala hujataka kuwa bias..big up bro
Ila wengne wengi naona wameenda kumshangaa mfalme...
Nilitegemea watu wamchallenge rais kwenye muswada katili huu wa vyombo vya habari.mpaka wa tz na malawi.uhusiano na moroco.na mengne mengi
Pasco safari nyingine ukipata mwaliko wa ikulu utuage wanajamii wenzako ili tukupe na maswali yetu.Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Amejibu kuwa uko muhimili ambao uko juu ya mingine bila kutaja ni ibara gani ya katiba inamruhusu kuvunja katiba ya nchi aliyoapa kuilinda na kuiteteaameambiwaje samahani mkuu
Sio Pasco wa LumumbaPasco safari nyingine ukipata mwaliko wa ikulu utuage wanajamii wenzako ili tukupe na maswali yetu.
Mfano mimi nilitaka ukamuulize sichonze z
ile milion arobaini za kila kijiji anatugawia lini?