Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hakika. Kauliza swali zuri sana. Nadhani na yule mama alouliza juu ya Ajira, Aliyoyategemea na kuyakuta ama kutoyakuta na pia anpendelea nini?

Manyerere pia kauliza vizuri sana juu ya msimamo wetu juu ya Morocco.
 
Heshima kwake aseee swali la msingi na majibu ya.......................kila mtu kasikia
 


hATA HAO WANAOMSHANGILIA pASCO NAWAONA KAMA HAWAJITAMBUI. rAIS WA nCHI NDIYO mKUU WA NCHI NA NDO MWENYE DOLA NA HAKUNA KAMA YEYE.
 
Si mmesema waandishi wa habari wa kuuliza maswali wameandaliwa na maswali wameandikiwa?
 
key word kwenye swali la Mayalla ni "mamlaka". Wapi Rais anapata mamlaka haya. Hilo la kwamba pesa inatoka wapi sio issue. Je, ni kwa vile pesa ya kuitunza familia unaitoa wewe basi unaweza kuifanya utakavyo? Hapana, baba kutoa pesa za kuhudumia familia ni wajibu na takwa la kisheria lakini namna anayopaswa kui-treat lina mipaka yake huwezi kusema leo unakataza watoto wasiende shule kwa miezi minne eti kwa vile unawapa pesa wewe. So hajajibu swali na anajua hana mamlaka hiyo kisheria na kikatiba
 
Fao fao fao fao fao
Baadhi ya waandishi ni mizigo kwa kweli.
Mm nimefurahishwa na aliyeuliza kuhusu
-Katiba
-ajira
sijamsikia aliyeuliza kuhusu fao la kujutoa, waandishi wetu bado sana hata mukulu maswali kajibu kisiasa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…