Wewe sasa ndiyo unaleta "utata"!!Acheni ukabila ....naona kuna watu wanajaribu kuunga ukabila kuchafuana tu ....JPM na Pasco si kabila moja kama mnavyotaka kuungaunga ....
Kwani JPM ni msukuma? cc @Pasco .Wewe sasa ndiyo unaleta "utata"!!
Braza Pasco tunajua ni Chapa ng`ombe. Mkulu the same. Kabila la huyo mwingine ni lipi?!
Mkuu Mtazamo, kama iliyo dini na kabila it's just a matter of choice, mtu yuko free kujitambulisha kwa kabila la mahali alipokulia not necessarily asili yake halisi ndio maana wa kwanza alijinasibihisha na Zanaki yule wa Mkuranga akajinasibu Mzenji, Yule wa Nchumbiji akajisabu ni Chinga, Mkwere Bagamoyo ni kwa baba wa kufikia, msifuatilie sana makabila ya watu unless kama mnataka kufanya matambiko, tena hala hala msije kuibua kisa cha kijana mmoja aliye lelewa nyumbani kwa Mzee Machalila pale Karagwe na kupewa jina la Kihaya la Katto.Kwani JPM ni msukuma? cc @Pasco .
Pasco ni sehemu za sanaa za CCM, hakuja jipya.Kilichokosewa ni excecution tuu. Free style ya muulizwaji na plan mbaya ya waliyoyaengeneza na kupatitisha.Aisee maswali kama haya ndiyo hufanya CCM wakimbie midahalo,na si ajabu huu ndio ukawa mwanzo na mwisho kwa mh rais kuulizwa maswali live na kujibu maswali live,maana yake kigongo hiki hakikuwa cha kawaida na mh rais hakutegemea kama angeweza kuulizwa swali kama hili tena kwa ujasiri mkubwa kiasi hiki,kwa vyovyote vile mh atakuwa aliondoka huku ubongo ukiwa unatoa cheche ndani kwa ndani,kumbe mh rais anapopiga marufuku mikutano ya siasa ana fanya hivyo kwa kujihami ili asiwe ana kutana na vigongo kama hiki.
Unadhani kwa bongo atume mhusika,au kibarua wake,au mpambe wake, au id ingine kunaondoa tabia za wabongo? kwa ujumla huo uzito umeondoka km ilivyo kwa documents nyingi bongo. pasco alishaingia, kilichomkimbiza ni nini?promo imebuma?Au kukosea game kumemuudhi mkaa jumba kubwa?Thread sio ya Pasco ila yangu. Na sina uhusiano naye. Wewe mwaga tuu majamboz
Acheni ukabila ....naona kuna watu wanajaribu kuunga ukabila kuchafuana tu ....JPM na Pasco si kabila moja kama mnavyotaka kuungaunga ....
Ni wakarimu tuu.Wewe umeona ukabila?Acheni ukabila ....naona kuna watu wanajaribu kuunga ukabila kuchafuana tu ....JPM na Pasco si kabila moja kama mnavyotaka kuungaunga ....
Haha...Fafanua kiduchu.
Mkuu Niko, kwanza threads sio ya kwangu, hivyo sijifagilii bali nimefagiliwa.Pasco mbona umekimbia Thread yako ya kujifagilia kwa kumuumbua anayekupa kula mjini?
Mkuu Chakaza, asante kwa ufafanuzi huu. Watu wengine humu jf ni shida!, kwa kifupi tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania, ila uzuri mmoja, kuwa kichaa, sio mpaka mtu aokote makopo.Thread sio ya Pasco ila yangu. Na sina uhusiano naye. Wewe mwaga tuu majamboz
Mkuu Kanyago, huu ni uchonganishi, mtaniponza nisialikwe tena Ikulu! .Pasco outsmarted the predent. Gosh!
Mkuu Ichana, Amen, asante, ila kulikuwepo maswali mengine mengi tuu muhimu likiwemo lile la demokrasia, Zanzibar na Udikteta, ila kuna wengi waliokuwa na maswali ya msingi ili hawakubahatika kupata nafasi ya kuuliza.huyu ndo pekee alijua nini kimempeleka japo swali halijajibiwa ipasavyo na swali la pili ndo kabisaaa.
MUNGU AMBARIKI KWENYE KAZI YAKE
JF imeharibika kabisa, sio ile iliyokuwa na mijadala ya kutuelimisha yale tuliyokuwa hatujui, kutufurahisha kwa utani wa hapa na pale tukiwa tumechoka ila sasa ni ya kuudhiana na kukarahishana.Mkuu Chakaza, asante kwa ufafanuzi huu. Watu wengine humu jf ni shida!, kwa kifupi tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania, ila uzuri mmoja, kuwa kichaa, sio mpaka mtu aokote makopo.
Paskali
Mkuu Mzee, Thanks, I'm humbled.Paschal Mayala ametutendea haki watanzania.
Lakini Rais ameshindwa kujibu kuhusu katazo la shughuli za kisiasa na hata jibu lake kuhusu uhuru wa mihimili mitatu lilikuwa ni dhaifu sana.
Mkuu Mzee, Thanks, I'm humbled.
Paskali
Mkuu Rommy Ronny , Thanks, I'm humbled.Sanah aiseee! Very very Big up to Him aiseeee
Tuliangalia na tumeona juhud zako.jitahid kutumia hekima msafara wa mamba na kenge,nguchiro na mijusi wa kichwa chekundu wapo.tunataman tena itokee na upate chance ya kuitwa tena ikulu.usibishane sana na wachache wasiotambua fani yakoMkuu Ichana, Amen, asante, ila kulikuwepo maswali mengine mengi tuu muhimu likiwemo lile la demokrasia, Zanzibar na Udikteta, ila kuna wengi waliokuwa na maswali ya msingi ili hawakubahatika kupata nafasi ya kuuliza.
Paskali