Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Tuliangalia na tumeona juhud zako.jitahid kutumia hekima msafara wa mamba na kenge,nguchiro na mijusi wa kichwa chekundu wapo.tunataman tena itokee na upate chance ya kuitwa tena ikulu.usibishane sana na wachache wasiotambua fani yako
Mkuu Ichana, ikitokea tena, nitazingatia.

Paskali
 
Mayala wewe ni jembe !! Uliuliza maswali kwa kujiamini sana awali ulikuwa umeweka msingi mzuri wa maswali yako kueleweka kirahisi na maswali yalikuwa ya msingi sana!! Kilichotokea ni mjibu maswali kutanguliza utani kwamba wewe una njaa na yakwamba ulizaliwa kipindi cha njaa na bila shaka ni njaa ilikupeleka pale siku ile!! Baada ya kijembe kile maswali yako hayakujibiwa na wewe tayari ulishapigika kiasi kwamba hukuweza kunyoosha tena mkono hata kupangua kile mkuu alichosema!! Labda Leo Pascal utuambie nini msimamo wako, je ni kweli ulikuwa na njaa? Je una njaa? Na baada ya kikao kile sasa umeshiba? Je tulibadilishe jina lako sasa ili libebe maana nzuri inayoendana na kauli mbiu yake??
 
Naongea na mkuu wa kaya hili swalibarudie kulijibu awamu nyingine ili neno mayala kwa kisukuma lisiwepo na mziz mmoja kwenda chini lisiwepo.
Otherwise big up mr.mayala
 
kwanini asitangaze kampuni na kituo chake cha kazi? lazma aseme ili afahamike istoshe ni wa kujitegemea .... big up paskali hiyo ni biashara.. unaitangaza kadiri ya uwezo wako na popote pale.lazma ccm msimfurahie maana alishindwa kujibu hilo swali na nina uhakika wakipewa muda na paskali patachimbika nakumbuka nilikuwa nakimbilia tv kuangalia kitimoto cha paskali
 
Umechanganya mkuu.. akiwemo ndo linaitwa national assembly au legislature,asipokuwepo ndo linaitwa parliament..

Naomba ku-withdraw my appreciation kuhusu kunisahihisha kwako kwani mimi ndio niko sahihi bali wewe ndio hauko sahihi. Source hii hapa chini inathibitisha kuwa mimi ndio nipo sahihi na wewe ndio umechanganya mambo.

Parliament of Tanzania
 
Tatizo la watu km pascal kadiri wanasogelea panono,ndivyo wanavyotupa kamba ya maadili na self control ,ndivyo wanavyokuwa na faida kwa wadhalimu.
 
Lini mtaweza ona kundu zenu ,msibaki km nyani. JF haijawahi kuwakosa watu km nyie, wanaopost ujinga kwa malipo na faida ya watawala.Sasa mmepotezwa kabisa, mkichangiwa na umuhimu wa JF kupotea kadiri walivyoamua uza heshima yao. Sasa mnalia tuu
 
Ni pale mwandishi anapojielewa na anajua kile anachouliza. Mimi kwa kweli nilifurahishwa sana na swali lake.

Na kwa mwenye akili ataelewa alichokijibu rais.
 
Pasco mbona umekimbia Thread yako ya kujifagilia kwa kumuumbua anayekupa kula mjini?
Hakuna atakayekuelewa

Binafsi nimekuelewa Sana Mkuu
Unaweza kushtuka inakuwaje aulize swali kama lile

Ni kawaida maana hakuuliza kwa ajili ya ufakhari na mjadala ule unakufa siku ileile..........
 
Japo hii ni posti ya siku nyingi, nimeona japo nami nitoe langu.
P Mayala, rais hajakosea kuwataka watumishi wa serikali na bunge kuomba kibari cha safari km unataka kutoka nje ya tz. Sheria hy ipo toka mwaka 1986. Na katika hz form za safari, inasema mbunge ataomba ruhusa kwa waziri mkuu au makamu wa rais. Waziri ataomba ruhusa kwa rais. Km kipindi chakati hy sheria ilikuwa haifuatiliwi haina maana kuwa imefutwa. Kasome vizuri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…