Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

ni nyie kesho mtakuja kumponda hapa akimsifia huyohuyo aliyeshindwa kujibu swali vizuri leo..
Kwani ina maana mtu ukimsifu inakunyima haki ya kumponda akifanya kinyume?. Kukosoa siyo kosa bali ni kuonesha una mtazamo tofauti na huyo unayemkosoa. Ukisifiwa ukafurahi pia si kosa kufurahi unapokosolewa. Huyu jamaa PASCO kwanza ana elimu nzuri ya sheria inayompa mtazamo mpana si kama hawa waandishi uchwara waliofeli shule kisha wakakimbilia DSJ, au wale waganga njaa na wenye kumtumikia matumbo yao. Swali lake nimelipenda na kunipa mtazamo chanya juu yake.
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.


Paskal you are right. Kazi ya executive ni kutafuta pesa na kuzipa mihimili mingine. Kama unashindwa kufanya hivyo, basi wewe hufai kuwa rais kazi au wajibu wako muhimu umekushinda
 
Hakuna mwana habari Tanzania wa kuuliza swali litakalo mshinda Magufuli..
Kelele nyingi kwenye magazeti lakini wamekutana nae live wamekosa maswali.
Watanzania tumezoea unafiki ndio maana hatuwezi kuuliza maswali maana wengi wetu ni waongo
 
Safi sana pascal mayala....Umeuliza maswali kuntu hukuliza swali kinafki kama Wale wengine waandishi

OVA
 
Binafsi swali la Sammy Awamu alilomuuliza rais Magufuli limekuwa chachu na nimeliona la maana zaidi.

Ni mwandishi gani ameuliza swali lililokukonga moyo wako na lenye maslahi mapana kwa nchi yetu?

Waandishi wa habari machoko tu yani wanashindwa kuuliza maswali ya muhm wanakenua kenua tu mm nimemind kinoma

Paschal mayalla ndo mwandishi aliyehudhuria kwa lengo la kuuliza swali wengine wameenda kukenua tu
 
kama hilo ndilo swali bora kwako!Basi watanzania wawe makini kwenye kuchagua wawakilishi wao kwenye masuala ya msingi katika kuinua uchumi wao.
 
.... na yule wa Mwanachi aliyeuliza swala la Zanzibar na utawala bora pia alibezwa badala ya kujibiwa kwa takwim u.
 
Wakuu mimi kwa bahati mbaya sijaangalia wala kusikiliza hayo mazungumzo ya mheshimiwa na wahariri ila nilitaka kujua amesema nini kuhusu suala la serikali kutoa ajira mpya
 
Jibu swali acha blah blah

OVA
Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
 
Anahalalisha uvunjwaji wa Katiba unaofanywa na watu wake na yeye Mwenyewe. Nisingetegemea jipya,kwani mwenzie walupokuwa anaheshimu mihimili mingine pesa alikuwa anatoa nani?? Wabunge kama hawajaliona hili Bunge ndiyo bye bye
 
Mayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
Ondoa kiherehere chako hapa... we mtu gani usieona na kuthamini wanaolisaidia taifa? Mods wanatakiwa wakupe BAN b'se JF ni platform ya great thinkers sio watu kama ww. Sijajua wanakuchelewesha kwa manufaa gani
 
Back
Top Bottom