Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Ni bora kwako na hajafikia ngazi ya Sitta.
 
Naam, nikubaliane na wewe. Spika alikuwa smart mno japo mdee alishindwa kutambua nafasi aliyopewa na spika kueleza kiufasaha zaidi na akatumia hisia zilizoharibu hoja yake.
Nimpe kongole kwa mara ya kwanza madam.
 
Leo nimeguswa tena na Spika hapa
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1721507992959398061?t=-vilPk1G8LD-hJKH7OHWTw&s=19 ameamuru the executive wawarudishe kwanza waalimu, wawasikilize kwanza ndipo wawahukumu! na sio kuwahukumu kwa kuwasimamisha bila kuwasikiliza!.
No one is condemned unheard!. Hongera sana Spika Dr. Tulia, we are very proud of you!. Leo ndio kwa mara ya kwanza Mhimili wa Bunge unatoa amri kwa the executive!.
I was very right niliposema
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=xrICDkKGFZFPc7jrP
 
Mambo ya nidhamu hatuwezi kuyashughulikia kilaini hivyo, huyo mama hana hoja,anataka kumyumbisha waziri
 
Katika hili pia kanifurahisha sana.
 
Wanabodi,

Hii ndio faida ya kuwa na Spika msomi wa sheria, natumaini wengi unakumbuka uendeshaji wa Bunge enzi za Spika Sitta pia alikuwa ni msomi wa sheria.
Paskali
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.

Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Naunga mkono hoja Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Tena sio Tulia mitano tena bali 2025 could be ni Dr. Tulia!.
Angalia tulikotoka nae
1. Hivyo japo ni mimi niliyemtabiria Dr. Tulia uspika, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

2. Fursa ya Spika mpya ilipojitokeza, niliwaomba CCM Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

3. Hivyo Dr Tulia aliposhinda nikamshauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

4. Kwa vile Rais Samia amesisitiza 2025 twende na Mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! wengi wanadhani Mwanamke wa 2025 ni lazima awe Rais Samia, anaweza kuwa ni Dr. Tulia!.
5. Sababu ya kwanini 2025 anaweza kuwa ni Dr. Tulia ni HII

P
 
Kwa hili wanakuonea, kwanza wanaelewa wewe ni ccm na huyo ni spika anatokana chama chako, na licha ya hivyo uliisha sema ni mwalimu wako. Mi binafsi kwa hili nakutetea sifa lazima umpe kwa vigezo vyote, sasa hao wanaokuita chawa walitaka umsifie nani, ili usiwe chawa? Piga kazi maisha haya hatutoweza kukubaliana kila kitu, fanya upendacho, na ukiwezacho huu ndio muda wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…