Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Nikipenda sioni wala sisikiiUnajua kupenda aisee
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipenda sioni wala sisikiiUnajua kupenda aisee
Hongera sana
Binafsi nimemuona wa ovyo baada ya kupendekeza wanaojitolea ndio wapewe kipaumbele kwenye ajiraWanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali nafuatilia Bunge Live, kiukweli kabisa nimekuwa very impressed na jinsi Madam Spika Dr. Tulia Akson anavyoliongoza Bunge.
Juzi aliifanua vizuri Ripoti ya CAG na kuifafanua ile kauli ya hasira ya Mama ya stupid na "Watupishe", ni walioongeza "cha juu" kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo, na sio wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Leo Mbunge wa Liwale kaibua kubwa kuliko Bungeni kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere, JNHPP japo liko Rufiji, bwawa hilo liko wilaya ya Liwale mkoani Lindi, na sio Mikoa ya Pwani na Morogoro, hivyo wilaya ya Liwale inastahili asilimia 60% ya mgao wa fedha za CSR ya JNHPP, lakini Liwale haikupata hata senti 5!.
Spika Tulia akaingilia kati kwa kumuuliza Mhe. Mbunge athibitishe Bwawa la JNHPP liko Liwale, Mbunge akasema lipo Liwale!.
Dr. Tulia akafafanua tofauti ya mahali Bwawa lilipo na the catchment area maji ya kulijaza bwawa yanakotoka!. Mhe. Mbunge akang'ang'ana bwawa liko Liwale!.
Dr. Tulia akamwambia Mhe Mbunge kuwa yeye na wabunge wamekwenda lilipo na hadi kubonyeza kitufe kukajaza maji, bwawa liko Rufiji na sio Liwale, hivyo akamwambia mbunge akae kwanza.
Kisha akauliza wahusika kama wapo waeleze Bunge bwawa la JNHPP liko wapi, ndipo akasimama Naibu Waziri wa Nishati, Byabato, akasema kwa mujibu wa ramani zao, bwawa la JNHPP liko Rufiji na Morogoro, ila kama Mbunge anayo ramani yake inayoonyesha bwawa liko Liwale, ailete na kuwaelimisha wengine tuko tayari kujifunza!.
Mbunge mwingine akasimama kuchangia kuwa bwawa liko Rufiji ila the catchment area ya maji ya bwawa hilo yanatoka Liwale.
Ndipo Spika Tulia akampiga darasa Mbunge huyo kuwa bwawa la JNHPP liko Rufiji ila maji ya kulijaza yanaweza kutiririka kutoka popote na kumruhusu kumalizia kuchangia.
Hii ndio faida ya kuwa na Spika msomi wa sheria, natumaini wengi unakumbuka uendeshaji wa Bunge enzi za Spika Sitta pia alikuwa ni msomi wa sheria.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori
Ngoja niwape mastori ya Mimi na Dr. Tulia Akson, kwa msiopenda mastori jump kule chini
Tanzania tunakwama baadhi ya maeneo kwasababu tuna viongozi vilaza!. We can afford kuwa na wabunge vilaza, ndani ya Bunge la JMT but we can't afford kuwa na wabunge vilaza kwenye Bunge la EALA! Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Ili Tanzania tuweze kupata viongozi bora,, the best of the best, hatuwezi kuuendeleza ule ujinga uliochomekewa ndani ya katiba yetu kiubatili, kuwaachia kakikundi ka watu wachache kuamua huyu ni wenzetu mpe uongozi, hata kama ni vilaza!, na huyu sii wenzetu kata jina tupa kule, hatumuhitaji, hata kama ni the best bright and Brilliant
Kwa maoni yangu, nashauri Spika asitokane na ukanda wa chama cha siasa, Spika Dr. Tulia huyu, tunayemsifu leo, kuwa anakwenda kuwa Spika bora ndio Dr. Tulia yule yule aliye naibu Spika chini ya bora Spika, na alinyamaza kimya wakati katiba yetu ikikanyagwa Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?
Hitimisho,
Nahitimisha kwa lile swali, la msingi la makala hii, kufuatia Spika Sitta na Spika Dr. Tulia Akson, ambao ni wanasheria, kuwa so good kwenye uendeshaji wa Bunge la JMT, kwasababu, they are smart, bright & brilliant! kuna haja sasa, kuanzia sasa kuhakikisha MaSpika wetu wote lazima wawe wanasheria?.
Wasalaam
Paskali
Angekuwa msomi mwanasheria asingekaa na wabunge wasiokuwa na Chama, Kwani hapo hajui kuwa wako humo kinyume Cha sheria? Labda sifa kuu aliyo nayo ni sifa ya rubber stamp.Nini kazi ya Spika ? Na Spika ni Jeshi la mtu mmoja au ana timu ya wabobebezi kwenye ofisi yake kwa ushauri wowote anaotaka na hata asioutaka...., Binafsi naona she is just a rubber stamper na hilo lina-dilute kazi yoyote nzuri anayoweza kuifanya ukizingatia tunaamini kwenye illusion ya Separation of Powers
Nimeongelea part ya uzi wako pekee hayo mengine nimeachana nayo sababu naona siku hizi kuongelea issue kumekuwa diluted na sifa, kusifia na uchawa
Umesema kweli aisee!Spika ni mwasheria kwa kiwango cha shahada ya uzamivu, it was too low kwake kujadili hoja dhaifu kama hizo. Tunataka tuone mchango wake wakati sheria zinletwa bungeni.
Be active, activate and activated
Wasalaam wana JF Miaka 50 baada ya uhuru bado nchi yetu ina struggle, mipango ya maendeleo na utekelezaji wake ni reflection ya pwagu na pwaguzi. Nafasi zote za kazi zina matakwa ya kielimu, ujuzi na uzoefu isipokua siasa yaani uwakilishi wa wananchi bungeni, ujue kusoma na kuandika tu...www.jamiiforums.com
Umeona, hajui wanaojitolea ni watoto wa wafanyakazi wa taasisi husika? Wakati wengine wakiomba kujitolea hapohapo, wanaambiwa sheria hairuhusu!!!Binafsi nimemuona wa ovyo baada ya kupendekeza wanaojitolea ndio wapewe kipaumbele kwenye ajira
Ni kama huko akilini mwangu, nadani vitu vibgine wasiwe wanarusha hewani anapenda kubishania vitu vidogo sana.Spika ni mwasheria kwa kiwango cha shahada ya uzamivu, it was too low kwake kujadili hoja dhaifu kama hizo. Tunataka tuone mchango wake wakati sheria zinletwa bungeni.
Be active, activate and activated
Wasalaam wana JF Miaka 50 baada ya uhuru bado nchi yetu ina struggle, mipango ya maendeleo na utekelezaji wake ni reflection ya pwagu na pwaguzi. Nafasi zote za kazi zina matakwa ya kielimu, ujuzi na uzoefu isipokua siasa yaani uwakilishi wa wananchi bungeni, ujue kusoma na kuandika tu...www.jamiiforums.com
Kwa bunge hili ni Mpinzani yupi akosolewe??Tuwe na shukrani kwa madogo ili tuweze kupatiwa makubwa!. Kipindi cha Spika Makinda na Spika Ndugai uliwahi ona spika anamkosoa na kumnyoosha mbunge wa CCM?. Huu ni mwanzo mzuri, hatutaki ujinga Bungeni uwe wa CCM au wapinzani ni kunyoroshwa!.
Huu ndio Umuhimu mkubwa wa Spika msomi wa sheria!. Hili nimeliandikia sana!. Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
P
Bora spika= Kimbunga Jobo?Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali nafuatilia Bunge Live, kiukweli kabisa nimekuwa very impressed na jinsi Madam Spika Dr. Tulia Akson anavyoliongoza Bunge.
Juzi aliifanua vizuri Ripoti ya CAG na kuifafanua ile kauli ya hasira ya Mama ya stupid na "Watupishe", ni walioongeza "cha juu" kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo, na sio wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Leo Mbunge wa Liwale kaibua kubwa kuliko Bungeni kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere, JNHPP japo liko Rufiji, bwawa hilo liko wilaya ya Liwale mkoani Lindi, na sio Mikoa ya Pwani na Morogoro, hivyo wilaya ya Liwale inastahili asilimia 60% ya mgao wa fedha za CSR ya JNHPP, lakini Liwale haikupata hata senti 5!.
Spika Tulia akaingilia kati kwa kumuuliza Mhe. Mbunge athibitishe Bwawa la JNHPP liko Liwale, Mbunge akasema lipo Liwale!.
Dr. Tulia akafafanua tofauti ya mahali Bwawa lilipo na the catchment area maji ya kulijaza bwawa yanakotoka!. Mhe. Mbunge akang'ang'ana bwawa liko Liwale!.
Dr. Tulia akamwambia Mhe Mbunge kuwa yeye na wabunge wamekwenda lilipo na hadi kubonyeza kitufe kukajaza maji, bwawa liko Rufiji na sio Liwale, hivyo akamwambia mbunge akae kwanza.
Kisha akauliza wahusika kama wapo waeleze Bunge bwawa la JNHPP liko wapi, ndipo akasimama Naibu Waziri wa Nishati, Byabato, akasema kwa mujibu wa ramani zao, bwawa la JNHPP liko Rufiji na Morogoro, ila kama Mbunge anayo ramani yake inayoonyesha bwawa liko Liwale, ailete na kuwaelimisha wengine tuko tayari kujifunza!.
Mbunge mwingine akasimama kuchangia kuwa bwawa liko Rufiji ila the catchment area ya maji ya bwawa hilo yanatoka Liwale.
Ndipo Spika Tulia akampiga darasa Mbunge huyo kuwa bwawa la JNHPP liko Rufiji ila maji ya kulijaza yanaweza kutiririka kutoka popote na kumruhusu kumalizia kuchangia.
Hii ndio faida ya kuwa na Spika msomi wa sheria, natumaini wengi unakumbuka uendeshaji wa Bunge enzi za Spika Sitta pia alikuwa ni msomi wa sheria.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori
Ngoja niwape mastori ya Mimi na Dr. Tulia Akson, kwa msiopenda mastori jump kule chini
Tanzania tunakwama baadhi ya maeneo kwasababu tuna viongozi vilaza!. We can afford kuwa na wabunge vilaza, ndani ya Bunge la JMT but we can't afford kuwa na wabunge vilaza kwenye Bunge la EALA! Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Ili Tanzania tuweze kupata viongozi bora,, the best of the best, hatuwezi kuuendeleza ule ujinga uliochomekewa ndani ya katiba yetu kiubatili, kuwaachia kakikundi ka watu wachache kuamua huyu ni wenzetu mpe uongozi, hata kama ni vilaza!, na huyu sii wenzetu kata jina tupa kule, hatumuhitaji, hata kama ni the best bright and Brilliant
Kwa maoni yangu, nashauri Spika asitokane na ukanda wa chama cha siasa, Spika Dr. Tulia huyu, tunayemsifu leo, kuwa anakwenda kuwa Spika bora ndio Dr. Tulia yule yule aliye naibu Spika chini ya bora Spika, na alinyamaza kimya wakati katiba yetu ikikanyagwa Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?
Hitimisho,
Nahitimisha kwa lile swali, la msingi la makala hii, kufuatia Spika Sitta na Spika Dr. Tulia Akson, ambao ni wanasheria, kuwa so good kwenye uendeshaji wa Bunge la JMT, kwasababu, they are smart, bright & brilliant! kuna haja sasa, kuanzia sasa kuhakikisha MaSpika wetu wote lazima wawe wanasheria?.
Wasalaam
Paskali
I'd yako ni mamasamia so ningeshangaa kama ungeandika tofautiKwa kweli Tulia ni msomi wa hali ya juu mno. Siasa zake ni za kimkakati sana za kumkimbiza mwizi kimyakimya. Angesema aende na siasa za kuropoka majukwaani kama Sugu basi 2025 angegaragazwa vibaya. Ila hadi muda huu tayari kashashinda 2025 Mbeya mjini kwa jinsi anavyowagusa wapiga kura moja kwa moja.
Labda Jobo Ila mama makinda kashafanya sana rejea suala la Sugu na mzazi mwenzie lilivyotinga bungeniTuwe na shukrani kwa madogo ili tuweze kupatiwa makubwa!. Kipindi cha Spika Makinda na Spika Ndugai uliwahi ona spika anamkosoa na kumnyoosha mbunge wa CCM?. Huu ni mwanzo mzuri, hatutaki ujinga Bungeni uwe wa CCM au wapinzani ni kunyoroshwa!.
Huu ndio Umuhimu mkubwa wa Spika msomi wa sheria!. Hili nimeliandikia sana!. Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
P
Utulivu na reasoning wako wa kujadili kitu, jinsi ya kuendesha chombo, Speaker siyo anatakiwa kutumia kanuni bali mila, desturi na busara.Sasa hapo kwenye maneno ya Tulia mbona sijaona hata neno moja la kisheria?
Naona umejisikia kumsifia huyo Tulia tu na ni haki yako kufanya hivyo ila siyo kisa ni mwana sheria.
Kufahamu jiografia ya mahala fulani haihitaji MTU kuwa na elm ya sharia bro. Labda unajifagilia kwakuwa wewe pia ni mwanasheria.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali nafuatilia Bunge Live, kiukweli kabisa nimekuwa very impressed na jinsi Madam Spika Dr. Tulia Akson anavyoliongoza Bunge.
Juzi aliifanua vizuri Ripoti ya CAG na kuifafanua ile kauli ya hasira ya Mama ya stupid na "Watupishe", ni walioongeza "cha juu" kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo, na sio wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Leo Mbunge wa Liwale kaibua kubwa kuliko Bungeni kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere, JNHPP japo liko Rufiji, bwawa hilo liko wilaya ya Liwale mkoani Lindi, na sio Mikoa ya Pwani na Morogoro, hivyo wilaya ya Liwale inastahili asilimia 60% ya mgao wa fedha za CSR ya JNHPP, lakini Liwale haikupata hata senti 5!.
Spika Tulia akaingilia kati kwa kumuuliza Mhe. Mbunge athibitishe Bwawa la JNHPP liko Liwale, Mbunge akasema lipo Liwale!.
Dr. Tulia akafafanua tofauti ya mahali Bwawa lilipo na the catchment area maji ya kulijaza bwawa yanakotoka!. Mhe. Mbunge akang'ang'ana bwawa liko Liwale!.
Dr. Tulia akamwambia Mhe Mbunge kuwa yeye na wabunge wamekwenda lilipo na hadi kubonyeza kitufe kukajaza maji, bwawa liko Rufiji na sio Liwale, hivyo akamwambia mbunge akae kwanza.
Kisha akauliza wahusika kama wapo waeleze Bunge bwawa la JNHPP liko wapi, ndipo akasimama Naibu Waziri wa Nishati, Byabato, akasema kwa mujibu wa ramani zao, bwawa la JNHPP liko Rufiji na Morogoro, ila kama Mbunge anayo ramani yake inayoonyesha bwawa liko Liwale, ailete na kuwaelimisha wengine tuko tayari kujifunza!.
Mbunge mwingine akasimama kuchangia kuwa bwawa liko Rufiji ila the catchment area ya maji ya bwawa hilo yanatoka Liwale.
Ndipo Spika Tulia akampiga darasa Mbunge huyo kuwa bwawa la JNHPP liko Rufiji ila maji ya kulijaza yanaweza kutiririka kutoka popote na kumruhusu kumalizia kuchangia.
Hii ndio faida ya kuwa na Spika msomi wa sheria, natumaini wengi unakumbuka uendeshaji wa Bunge enzi za Spika Sitta pia alikuwa ni msomi wa sheria.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori
Ngoja niwape mastori ya Mimi na Dr. Tulia Akson, kwa msiopenda mastori jump kule chini
Tanzania tunakwama baadhi ya maeneo kwasababu tuna viongozi vilaza!. We can afford kuwa na wabunge vilaza, ndani ya Bunge la JMT but we can't afford kuwa na wabunge vilaza kwenye Bunge la EALA! Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Ili Tanzania tuweze kupata viongozi bora,, the best of the best, hatuwezi kuuendeleza ule ujinga uliochomekewa ndani ya katiba yetu kiubatili, kuwaachia kakikundi ka watu wachache kuamua huyu ni wenzetu mpe uongozi, hata kama ni vilaza!, na huyu sii wenzetu kata jina tupa kule, hatumuhitaji, hata kama ni the best bright and Brilliant
Kwa maoni yangu, nashauri Spika asitokane na ukanda wa chama cha siasa, Spika Dr. Tulia huyu, tunayemsifu leo, kuwa anakwenda kuwa Spika bora ndio Dr. Tulia yule yule aliye naibu Spika chini ya bora Spika, na alinyamaza kimya wakati katiba yetu ikikanyagwa Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?
Hitimisho,
Nahitimisha kwa lile swali, la msingi la makala hii, kufuatia Spika Sitta na Spika Dr. Tulia Akson, ambao ni wanasheria, kuwa so good kwenye uendeshaji wa Bunge la JMT, kwasababu, they are smart, bright & brilliant! kuna haja sasa, kuanzia sasa kuhakikisha MaSpika wetu wote lazima wawe wanasheria?.
Wasalaam
Paskali
mwanabodi hii ka-like kimya kimya kapita zake.!Kumbe mimi bado zoba sana.Hivi pale ilitumika sheria zaidi na si jiografia?Naanza upya darasa la kwanza.
No, mimi nimemzidi Mwalimu wangu almost 10 years!. Ile 1990 wakati naanza kazi RTD, nikiwa nimeisha maliza O level i 4 years, A level 2 years, JKT, 1 Year, Diploma ya Journalism 2 years!, yeye alikuwa bado primary!. Hivyo Mwalimu wangu kiumri ni mdogo wangu sana!.Mwanafunzi umezeeka kuliko mwalimu wako!!!
Kazi ya Spika ni Mkuu wa mhimili, ana wasaidizi, ana washauri lakini kwenye kufikia maamuzi ni yeye kama yeye.Nini kazi ya Spika ? Na Spika ni Jeshi la mtu mmoja au ana timu ya wabobebezi kwenye ofisi yake kwa ushauri wowote anaotaka na hata asioutaka....,
Hili la Spika kuwa a ruber stamp, lilikuwepo hadi kuliandikia makala 3, three series 1Binafsi naona she is just a rubber stamper na hilo lina-dilute kazi yoyote nzuri anayoweza kuifanya
It's true kwa mfumo wetu wa Mkuu wa Mhimili wa Serikali ni sehemu ya Bunge na sehemu ya Mahakama, Separation of powers ni just an illusion!. https://www.jamiiforums.com/threads...aration-of-powers-nothing-just-a-myth.764217/ukizingatia tunaamini kwenye illusion ya Separation of Powers
It's true na ndio maana kila nikibandika bandiko lolote la kusifia jambo lolote, naweka na rejea zangu za critics ili kunitofautisha na machawa waliotamalaki humu!.Nimeongelea part ya uzi wako pekee hayo mengine nimeachana nayo sababu naona siku hizi kuongelea issue kumekuwa diluted na sifa, kusifia na uchawa
Mkuu Kilimbatzz kuna kusifu bonafide genuine na kusifu kwa uchawa . Kusifu bonafide genuine ni kusifu panapostahili sifa, ila siku huyo aliyesifiwa anapo boronga, unamkosoa, machawa ni kusifu tuu, akiboronga wananyamaza kimya!.Uchawa uchawa uchawa
It's true hiki kilikuwa ni kichekesho, ila kinamuhitaji mtu makini kubaini hilo!.Ofcourse pasipo mashaka yo yote ni aibu mkuu wa mhimili wa kutunga sheria asiwe mwanasheria au mtu mwenye uelewa wa sheria.....
lakini kipengele cha mbunge kuhamisha bwawa kwa fikra zake kimenichekesha sana. Nikawaza hata Jafo angedai kuwa lipo kisarawe