Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."
Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!
Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!
Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?
Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya wish ya kile chama chakavu?
Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni ku-m-exempt nani wapi?
"Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema!"
Wanasema: "usoni kama watu."