Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

kwahiyo amevaa hidden bullet proof vest hadi kwenye kijambizi, right?🐒
Wale wauwaji wa Assad sasa hivi wao ndio wanashughulikiwa na wameanza kusema walipokuwa wakizika miili ya wananchi.

Na ninyi zamu yenu itafika tu.
 
Wale wauwaji wa Assad sasa hivi wao ndio wanashughulikiwa na wameanza kusema walipokuwa wakizika miili ya wananchi.

Na ninyi zamu yenu itafika tu.
anavaa bullet proof vest utadhani anakwenda doria 🤣

kibaraka bana 🤣
nani wa kubabaika na mtu wa mdomo kama yule bana 🐒
 
Kweni wewe umezaliwa na nguo? Mungu amekuleta hapa Duniani kwa uwazi.
ndiyo,
ili wadau waone huo uwazi wake vizuri, au uwazi ni kwenye bullet proof vest ya kufanyia doria?🐒
 
anavaa bullet proof vest utadhani anakwenda doria 🤣

kibaraka bana 🤣
nani wa kubabaika na mtu wa mdomo kama yule bana 🐒
United_States_Senator_Lindsey_Graham_visits_Kibbutz_Kfar_Aza_on_January_4_2024_-_64.jpg

Senetor Graham mwenyewe kapigilia Body Armour.

Wewe karoho kako ka kimasikini tokea asubuhi unaongelea tu Lissu Lissu..
 
Jiwe angemtaka TAL Ili ammalize angemkaribisha juice tu kunako magogo wala asingetumia mfumo wa Vita 😂😂😂

Hii ni kule kule isikoonjwa sumu
Hivi intelijensia ya CHADEMA ni kali kuliko ya serikali?
Kwamba CHADEMA wanaweza wakamshambulia mtu na serikali ishindwe kuwatia nguvuni,badala yake ikubali kuchafuliwa ndani na nje ya nchi?
Hii ni ajabu na serikali ya hivyo inapaswa kudharaulika sana,kama wewe unavyoidharau indirectly.
 
ndiyo maana kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anachekesha kuvaa bullet proof vest ya kizamaniiiiiiii kama sijui wanamgambo wa Hamas 🤣

eti muwazi 🤣
atembee uchi basi kama kweli muwazi,

hana uwezo wa kuipata lakini pia saizi yake Lazima akapimwe kiwandani,

Felix Tshekedi wa DRC, iliwahi kumbana alimanusura awe no more 🐒
Ungetoa mfano wapi ambako watu wawazi wanatembea bila nguo?
 
anavaa bullet proof kama wanamgambo wa janjawid dah,

kweli anawajibikia usalama wake.

lakini masuala ya kudoea kula chakula kwa watu kila siku ni tabia mbaya,

si ule nyumbani kwako na mke wako?🐒
Mke wake si hayupo Tanzania? Acheni adowee, ila ale tu kwenye sinia moja na wenyeji
 
Ungetoa mfano wapi ambako watu wawazi wanatembea bila nguo?
labda ungemuuliza huyo muungwana ambae ndie mwenye oni kwamba Lisu kuvaa bullet proof vest ya doria ni uwazi 🐒
 
Mkishaua Upinzani na kelele mtatolewa kama Assad.
hakuna mauaji yatakayofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema, ila ni kumshikisha adabu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Gentleman,
hakuna anaevaa bullet proof vest kama ya Lisu katika nchi ulizotaja, acha upotoshaji,

huenda uliona bodaboda wamevalia vizuia upepo ukadhani ni bullets proof vest,

Infact,
hata ya Lisu sio bullet ni kizuia upepo tu kama vya maafisa usafishaji wa bodaboda kitu ambacho ni useless na completely nonsense.

Kwa technolojia ilivyokua sasa unaweza kuvaa bullet proof vest hata adui yako asijue umevaa bullet proof vest.

sasa unapomuonyesha adui yako kwamba uko tayari kwa mapambano unamaanisha nini kama sio fursa na nafasi ya kukumiminia risasi kwnye kijambizi?🐒

Una maana uweke vizuizi visivyojulikana Ili ufanyiwe shambulizi kuwa prove wame-noa?

Kama ndivyo polisi walinda benki kumbe wangejificha wavunge kufa hakuna mlinzi?
 
Jiwe mnampakazia tu. Dili lilikuwa la ndani ya chama chake na huyo huyo wanayepambana naye sasa.

Ungeleta ushahidi usiokuwa na shaka ingependeza zaidi ndugu mjumbe kutokea chama chakavu!
 
Back
Top Bottom