Gentleman,
hakuna anaevaa bullet proof vest kama ya Lisu katika nchi ulizotaja, acha upotoshaji,
huenda uliona bodaboda wamevalia vizuia upepo ukadhani ni bullets proof vest,
Infact,
hata ya Lisu sio bullet ni kizuia upepo tu kama vya maafisa usafishaji wa bodaboda kitu ambacho ni useless na completely nonsense.
Kwa technolojia ilivyokua sasa unaweza kuvaa bullet proof vest hata adui yako asijue umevaa bullet proof vest.
sasa unapomuonyesha adui yako kwamba uko tayari kwa mapambano unamaanisha nini kama sio fursa na nafasi ya kukumiminia risasi kwnye kijambizi?🐒