- Thread starter
- #61
No hajakwepa!,aliyekwepa ni aliyealikwa ama akaenda halafu hakula,ama hakwenda ili kukwepa sumu。Lakini hapo TL hakualikwa hivyo hajakwepa!。
P
Kuweka rekodi sawa, kauli hii TAL Haina cha kufanya na sherehe ya kuzaliwa messiah mwaka huu au siku yoyote.
Kauli hii ya TAL bila shaka inabeba mashaka yake ya muda mrefu zaidi.
Kuonjwa sumu kwa ulimi hakujaanza Leo.
Au nasema uongo ndugu yangu?