Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

No hajakwepa!,aliyekwepa ni aliyealikwa ama akaenda halafu hakula,ama hakwenda ili kukwepa sumu。Lakini hapo TL hakualikwa hivyo hajakwepa!。
P

Kuweka rekodi sawa, kauli hii TAL Haina cha kufanya na sherehe ya kuzaliwa messiah mwaka huu au siku yoyote.

Kauli hii ya TAL bila shaka inabeba mashaka yake ya muda mrefu zaidi.

Kuonjwa sumu kwa ulimi hakujaanza Leo.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Yes,
ni mbele kidogo ya buseresere gentleman :pedroP:

Kama nakuona ndugu:

downloadfile.jpg

Yaonesha upepo kuwaendea vyema kuliko matarajio.

Au nasema uongo?
 
Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."

Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!

Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!

View attachment 3187256

Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?

Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?

Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?

Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.

Wanasema: "usoni kama watu."
MKuu Blaza Jei, brazaj , asante kwa bandiko hili Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!
Japp naunga mkono hatua zozote mtu yeyote anazozichukua kulinda usalama wake,kwa mtu kuwa security conscious,ndio maana niliwalaumu kutochukua hatua madhubuti kulinda viongozi wake,Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

Lakini kauli hiyo ni moja ya kauli zake ropo ropo zinazomuonyesha alivyo na upungufu wa busara kumchafua Mbowe kuwa ni muuaji anaweza kumuua kwa sumu!。

Japo Mbowe aliishia Form IV na alipata ile divisheni ya vijana,lakini Mbowe sio kilaza,sio kichaa,sio mwendawazimu,hata kama kweli ni muuaji wa kichini chini, hawezi kufanya ujinga wa kupanga kumuua lissu,amualike nyumbani kwake, amuandalie chakula halafu akitilie sumu ampe Lissu sumu nyumbani kwake!。 Nasema big no!。
Hata ile siku anarudisha fomu,kitendo cha kwenda huku amevaa bullet proof ni mockery kwa Chadema wasije kumuua!。

Anachofanya Lissu ni utovu wa shukrani kwa Mbowe kwa jinsi alivyomtesekea kuokoa maisha yake。

Japo mimii ni supporter mkubwa Lissu humu jf
Lissu apunguze u ropo ropo, asimchafue Mbowe ili angalau aweze kupata japo kura
mbili!, vinginevyo...
Na Mbowe akionewa pia namtetea Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!
P
 
Japa naunga mkono hatua zozote mtu yeyote anazozichukua kulinda usalama wake,kwa mtu kuwa security conscious,ndio maana niliwalaumu kutochukua hatua madhubuti kulinda viongozi wake,Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

Lakini kauli hiyo ni moja ya kauli zake ropo ropo zinazomuonyesha alivyo na upungufu wa busara kumchafua Mbowe kuwa ni muuaji anaweza kumuua kwa sumu!。

Japo Mbowe aliishia Form IV na alipata ile divisheni ya vijana,lakini Mbowe sio kilaza,sio kichaa,sio mwendawazimu,hata kama kweli ni muuaji wa kichini chini, hawezi kufanya ujinga wa kupanga kumuua lissu,amualike nyumbani kwake, amuandalie chakula halafu akitilie sumu ampe Lissu sumu nyumbani kwake!。 Nasema big no!。
Hata ile siku anarudisha fomu,kitendo cha kwenda huku amevaa bullet proof ni mockery kwa Chadema wasije kumuua!。

Anachofanya Lissu ni utovu wa shukrani kwa Mbowe kwa jinsi alivyomtesekea kuokoa maisha yake。

Lissu apunguze u ropo ropo ili angalau apate kura mbili!, vinginevyo...
P

Kumwita huyu ndugu ropo ropo, huku ukimtambua Mbowe kuwa form ni IV wa ile Divisheni ya vijana wa hovyo JF, japo ukimpaka mafuta Kwa mgongo wa chupa, bila shaka ni katika kuiwakilisha vyema agenda rasmi ya chama chakavu ya kuukaanga mbuyu:

downloadfile.jpg

Kwani hudhani hili goma lilipo, muda hauko kabisa upande wa mwamba?

Kwani hata score board kuelekea dakika za majeruhi Mbowe VS Lissu, yahitaji miwani kuona jahazi lipi linakwenda mrama?

Gftjz6eXsAAXvoY.jpeg

Kwamba nani haoni huyu ndugu hana jipya na ni kipenzi kindaki ndaki wa chama chenu?

GflsGohXgAAHF63.jpeg

Kwani usukumani au ujalioni huko, nyongo za mamba siyo nyara ya serikali?

Kwamba mjaluo yule kuuhabarisha umma Lissu kuharisha mno huku wao wakiwa salama walidhani sote ni naive kiasi hicho?

Nani asiyejua ndege mjanja hunaswa na tundu bovu? Pia kwamba racing against time team mwamba, haiwezi kukosa options zote mezani?
 
Wanasiasa na Maraisi karibia wote wanazivaa hizo vest ndani ya suti zao Mapolisi wanavaa Walinzi wa Garda Group4 nk. Wanavaa.

Tundu Lissu angeweza kuivaa hiyo kevlar ndani ya Suti kificho lakini Lissu ni muwazi
Anaivaa juu ya shati.

Kawadanganye huko Bahi hapa ni JF
kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwazi
 
Kwani hudhani hili goma lilipo, muda hauko kabisa upande wa mwamba?

Kwani hata score board kuelekea dakika za majeruhi Mbowe VS Lissu, yahitaji miwani kuona jahazi lipi linakwenda mrema?
Labda kama ingekuwa wapiga kura ni watu wenye akili za binadamu, lakini kwa hawa nyumbu, usitarajie chochote! Kazi iliishaisha Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
Wanasiasa na Maraisi karibia wote wanazivaa hizo vest ndani ya suti zao Mapolisi wanavaa Walinzi wa Garda Group4 nk. Wanavaa.

Tundu Lissu angeweza kuivaa hiyo kevlar ndani ya Suti kificho lakini Lissu ni muwazi
Anaivaa juu ya shati.

Kawadanganye huko Bahi hapa ni JF
Hahahah daah jamaa umemchamba
 
Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."

Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!

Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!

View attachment 3187256

Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?

Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?

Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?

Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.

Wanasema: "usoni kama watu."
Sawa. Ila nyongo ya mamba siyo sumu.
 
Kumwita huyu ndugu ropo ropo,
Huyu ni skulumeti wangu, kweli ni ropo ropo Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Kwenye breki ya ulimi na busara, huyu ni a bad liability, ila kama wapiga kura wengi wa 2025 ni GenZii, huu uropo ropo wake ndio asset ya kuingilia ikulu maana atamuogesha vilivyo mgombea wa CCM Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Mkuu koleo aka beleshi (spade) siyo kijiko kikubwa.

Tunawataka hawa wenye kuliita koleo kwa jina lake.

GeqFYhVWsAAcU0W.jpeg

No wonder wenye chama lao wa mfano wake, ni muhogo mchungu!

Kwa hakika kuwaita aina ya hawa:

GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg

Uwaiteje wewe uliyesona naye hali ukiwa siyo ropo ropo?

Waangalie:

IMG_20241225_180332.jpg

Kama uchaguzi ule LGE 2024 nayo ni matunda ya maridhiano hayo, kumbe mwungwana usiyekuwa ropo ropo uyaiteje?
 
Hebu tuwe impartial kidogo:

Hudhani leo pana waliomo na wasiokuwamo wenye wishful thinking za kuwa huyu ndugu lile shambulio kama vipi kile kikombe Bora angekinywea?

Unadhani aina za kina Wenje, Yeriko au hawa wenginewe wanaomnenea maneno magumu mwenyekiti mtarajiwa huyu, mawazo ya kumwonjesha sumu hayapo? Kwamba wana lipi jema naye?

Kwamba ni kipi alichowatibua chawa hawa kiasi cha utu kuwatoka na kuuvaa uhayawani hata wa kuchuliana vifo?

Ninakazia hawa ndugu hawaaminiki!
Kwa sasa wapo wengi hata Mbowe mwenyewe na wapambe wake wana wish jamaa angekufa na hii imekuja baada ya kugusa maslahi yao. Ila kwa wakati ule ile show ilikuwa 100% dola. Ila kwa ishu ya Mzee Kibao naweza kuamini kuwa ilikuwa colabo ya dola na wanufaika wa hela ya Abdul ndani ya Chadema, hawa walitoa code na dola ikafanya finishing.
 
Inasikitisha sana.

Nisiache kukazia, wa aina zao, hawaaminiki leo wala jana!

Usoni wako kama watu.
 
Back
Top Bottom