Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

Tupunguze kulalamika..Hii ni vita ya Mtu moja moja..
Hata tuandike magazeti Hapa JF haibadilishi kiti,
cha msingi nunua satinaiza(Sanitaizer), Barakoa wagawie wasio Nazo,
usichoke kutoa elimu ya kujikinga.


WHO wenyewe ukiwauliza nini kifanyike, hawana jibu lililonyooka. Wataalam bado na wenyewe wanausoma kujaribu kutoa ushauri wa namna ya kukabiliana nao.
 
@

Sky Eclat sidhani kama unahitaji kujua idadi ya wagonjwa wa Malaria au STD, same goes to COVID19. Kuhusu oxygen ni sawa, maana huo ni mkakati.
Ila mkuu kwa covid 19 nchi zote dunia zinatoa briefing update kwa kila kile kinachojiri,ni muongozo toka WHO,inakuaje Tanzania tu ndio iwe shida kwao,covid 19 si ya kuficha.

Juzi tu south africa pamoja na power yake ya kiuchumi aliyonayo lakini amepata msaada wa madaktari kutoka cuba,hapo hapo mnadai nchi nzima ina wataalam 8 tu wa kuangalia kipimo cha covid 19,uoni kama tutakuwa wawazi na sie tunaweza kupata msaada wa wataalam kama hao kutoka nchi zingine?
 
Hiiiiii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wapo wataalamu 8 tu Tanzania nzima wenye uwezo wa kusoma Covid 19 tumekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hawataki kuwa wawazi,wenzetu hii vita wanapambana kwa kuichangia mande,nigeria tayari ana msaada wa madr kutoka china,south africa amepewa madr na serikali ya cuba,serikali yetu inataka kupambana yenyewe kama yenyewe kitu ambacho italy walikuja kukijutia,huu ugonjwa sio kificho kwani hayo mataifa makubwa ndio yanaongoza kwa kuathirika,sie tunaficha kitu gani sijui!
 
Well said mkuu 👏
 
Kuna majengo kama PTA pale saba saba na diamond jubilee,ethiopia wametenga maeneo kama hayo kwa wagonjwa wa corona
 
@

Sky Eclat sidhani kama unahitaji kujua idadi ya wagonjwa wa Malaria au STD, same goes to COVID19. Kuhusu oxygen ni sawa, maana huo ni mkakati.
Hii mikakati haisaidii kama mnaficha data huku mkizika wafu kimya kimya usiku wa manane kama wachawi. Serikali imefeli sana asee
 
Hapa ndipo napopata Shaka yaani ugonjwa huu una miezi almost 5 toka utokee huko dunian sisi Leo ndio tunakaa vikao kuona namna yakukabiliana nao inasikitisha

Labda nikuulize Mkuu mlidhani huu ugonjwa hautakuja nchini kwetu?

Kwanini kila nchi inatoa takwimu ya wagonjwa na vifo Kwann sisi hatutoi hasa za vivo?






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipengele namba 6 ushauri wangu self isolation ikiambatana na "prescribed medicine" ni nzuri zaidi kuliko kuwaweka watu ambao hawako serious wodini na kutowapa huduma yoyote. Ni vizuri sasa wataalamu wa afya ambay hawajaajiriwa wakapewa mafunzo ili wawe washauri wa watu wanajitibia nyumbani hasa kuhusu dawa za kutumia na unywaji wa maji na vitamins
 
Siku hizi waziri wa afya ni mange na naibu wake ni kigogo.
Hao wanasikilizwa balaa.[emoji16][emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulidhani watamsikiliza nani huku amiri jeshi mkuu aliepaswa kuongoza mapambano amejificha kijijini. Serikali inaficha habari. Hakuna kitu kinachoendelea huku ndugu zetu wanazikwa kimya kimya usiku.
 
Hatuungani. Hamna kitu hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo namba 6 ni muhimu sana,hakuna haja ya mtu ana dalili za kawaida kwenda kuchanganywa na wagonjwa wengne wakat anaweza kujihudumia mwenyewe.Na ndio kitu kinachochafanya wengi wasiende kupima wabaki wanajitibu nyumban tu kwa dalili bila kuwa na uhakika km wameambukizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cutelove siyo hivyo, mimi naona siyo muhimu kupanikishana, unajua Ummy alikuwa anapanikisha??? Tuwe wakweli my cutelove hakuna anayependa kusikia habari mbaya
Wewe ni mjinga tu. Mmeleta siasa kwenye maisha ya watu matokeo yake ndio haya sasa watu wanapukutika kama kuku wa kideri 🤦‍♂️🤦‍♂️😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…