Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

Ukipigwa BAN utamlilia nani?Si unanijua lakini navyokuwekaga lock up?
Kwahiyo mnaanza Kunichokoza na Kunidhihaki Wenyewe tena huku mkinitusi maneno makali mkitegemea kuwa nikiwajibu mtanitishia kunipa BAN Ili niwaogopeni au? Pumbavu sijawahi kuwa Muoga wa lolotet na ukitaka Nikuheshimu basi anz Kwanza Kuniheshimu vinginevyo Ukinichokoza usitegemee nitakuacha.

Huna Akili.....!!!!!!
 
Kwahiyo mnaanza Kunichokoza na Kunidhihaki Wenyewe tena huku mkinitusi maneno makali mkitegemea kuwa nikiwajibu mtanitishia kunipa BAN Ili niwaogopeni au? Pumbavu sijawahi kuwa Muoga wa lolotet na ukitaka Nikuheshimu basi anz Kwanza Kuniheshimu vinginevyo Ukinichokoza usitegemee nitakuacha.

Huna Akili.....!!!!!!
Yaani ww kuwa live hivi hapa Jf ni vile tu nimeamua kukucha uumie kwanza kwa Droo ya litimu lako la MAKOLO
 
Leo umekubali kweli yanga imeupga mwngi
Sina Unafiki penye Ukweli napongeza japo Mimi ni mwana Simba SC lia lia. Zipo Threads zangu nyingi tu hapa JamiiForums nikiwasifu Yanga SC na hata Kuwashauri pia zitafute uwaone wana Yanga SC hawa hawa ambao leo wananiona Adui ila katika hizo Threads zangu walikuwa wakiniona Shujaa.
 
Mmecheza Mpira mwingi na mkubwa mno huku Wachezaji wote wakiwa na Ari, Nia na Uthubutu wa Kufanya vyema na hakika mmekifanya na mmestahili pia.

Hata hivyo Mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta Kiini cha Ajali ya Ndege ya Watu majuzi na Waliosababisha kwani kwa Ndege kama ile tena iliyokuwa na Marubani Wazoefu isingeanguka vile ila leo Saa 4 Kamili Usiku huu nimeshapata msababishi / kisababishi kwani kwa Matukio ya Kimaamuzi Makafara mazito mazito huwa yanahitajika ili kuleta Ufanisi kwa kile Unachokidhamiria kusudi usije ukaumbuka.
Duu! Makafara tena!
 
1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga.

2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga ndiyo hiyo hiyo mnairudia tena leo.

3. Kumbukeni hawa Club Africaine hawatokei katika Madafu Premier League yetu Tanzania yenye farasi wakubwa wanne au watano, huku wao na nchi yao wakiwa miongoni mwa nchi kubwa na iliyoendelea sana kimataifa hasa katika mchezo wa mpira wa miguu.

4. Kwa ubovu wa timu ya Kipanga FC ilikuwa ni lazima tu Club Africaine ya nchini Tunisia wabovu kama wao (kipanga) na hivyo watashinda kiuwepesi na hatimaye kuingia makundi ya CAFCL.

5. Mnaoidharau Club Africaine ya nchini Tunisia (kutokana na ujuha wenu) kumbukeni kuwa hawa wenzenu walishafika hadi fainali ya CAFCC je, nyie (Yanga SC) mmeshafika huko walikofika au hata tu kupasogelea?

6. Ninavyowajua Waarabu walivyo makini katika michuano hii ya Afrika watakuwa tayari wameshabeba video za mechi za Yanga SC na timu zingine ili kujipanga zaidi kuwakabili kimchezo na kiufundi. Ila kwa niwajuavyo Yanga SC kwa sasa kipaumbele chao ni udhamini wa UNICEF na kuchanja UVIKO - 19, kuiroga kuifunga Simba SC Jumapili ijayo, kujisahau na ushindi wa ligi nyepesi ya NBC Premier League na ikifika tarehe 30 December 2022 siku tatu kabla ya kukutana na hawa Club Africaine ndiyo Watazinduka na kuanza kujiandaa na wakitolewa kama kawaida, mbuzi wao wa kafara na kichaka chao cha kujitetea kitakuwa ni kumlaumu mwamuzi (refa) kuwa amewaonea.

7. Tayari waandishi wa habari, watangazaji na wachambuzi wa michezo wameshaanza kujipendekeza kwa Yanga SC na kuwa waongo dhidi yao huku wakiwadanganya kuwa Club Africaine ya nchini Tunisia ni nyepesi mno na Yanga SC atashinda tu kote kote, wakati kiuhalisia wana Yanga SC wachache wenye akili wameshakubali kuwa kwa kimataifa Yanga SC anakufa na michuano hii haiwezi.

Endeleeni tu kujidanganya sawa?
upopoma wake wote umejidhihirisha hapa, hii wataona kizazi na kizazi hadi mwisho wa dahari.
 
Leo utaona unafukuzwa na Matola akisaidiwa na Aziz K..mbweha wewe🤣
mbweha kama hao zamani tulikuwa tunakamata tunawasha moto kwenye mikia yao tunawaachia wanaenda zao, lawama zitaenda kwa ma-bwana misitu.
 
Back
Top Bottom