Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

Ukipigwa BAN utamlilia nani?Si unanijua lakini navyokuwekaga lock up?
Kwahiyo mnaanza Kunichokoza na Kunidhihaki Wenyewe tena huku mkinitusi maneno makali mkitegemea kuwa nikiwajibu mtanitishia kunipa BAN Ili niwaogopeni au? Pumbavu sijawahi kuwa Muoga wa lolotet na ukitaka Nikuheshimu basi anz Kwanza Kuniheshimu vinginevyo Ukinichokoza usitegemee nitakuacha.

Huna Akili.....!!!!!!
 
Yaani ww kuwa live hivi hapa Jf ni vile tu nimeamua kukucha uumie kwanza kwa Droo ya litimu lako la MAKOLO
 
Leo umekubali kweli yanga imeupga mwngi
Sina Unafiki penye Ukweli napongeza japo Mimi ni mwana Simba SC lia lia. Zipo Threads zangu nyingi tu hapa JamiiForums nikiwasifu Yanga SC na hata Kuwashauri pia zitafute uwaone wana Yanga SC hawa hawa ambao leo wananiona Adui ila katika hizo Threads zangu walikuwa wakiniona Shujaa.
 
Duu! Makafara tena!
 
upopoma wake wote umejidhihirisha hapa, hii wataona kizazi na kizazi hadi mwisho wa dahari.
 
Leo utaona unafukuzwa na Matola akisaidiwa na Aziz K..mbweha wewe🤣
mbweha kama hao zamani tulikuwa tunakamata tunawasha moto kwenye mikia yao tunawaachia wanaenda zao, lawama zitaenda kwa ma-bwana misitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…