Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

Hii tabia haijaanza leo , hata kipindi cha msiba wa Magu watu walivujisha picha za maiti , watu wakafurahi ona inajirudia tena kwa Pro Jay ! Tubakishe utu aseee mbali na migogoro tuliyonayo!!!
 
Mi siwezi kujadili kitu ambacho sijakiona
Jaman watu wanamtuhumu mtu hata video zenyewe hazipo
Nchi yetu Tanzania ni balaa
 
Hii tabia haijaanza leo , hata kipindi cha msiba wa Magu watu walivujisha picha za maiti , watu wakafurahi ona inajirudia tena kwa Pro Jay ! Tubakishe utu aseee mbali na migogoro tuliyonayo!!!
Kama walivyoshangilia kipindi kile na hili nalo washangilie
 
Back
Top Bottom