johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe ulidhani atakuwa mfagiaji?Tanzania ina watu wa hovyo sana ukute ni daktari bingwa ndo karekodi hiyo video.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulidhani atakuwa mfagiaji?Tanzania ina watu wa hovyo sana ukute ni daktari bingwa ndo karekodi hiyo video.
Anyway, mwache aendelee kuyamwaga maana si nchi imefunguliwa, mkamtumia na pasi ya kusafiri kabisa pamoja na kupiga picha na Mkulu wakati mmesahau kuwa kichwani kuna nati zake zimelegea, mpaka siku atakapoanza kuwatukana mliopiga nae picha ndio mtajua kuwa yule sista wa US akili hanaBaada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo.
Pia soma;
1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua
TCRA mlione hili na mfanyie kaziKuna kitu hakipo sawa kwenye security hasa mambo ya mitandao TCRA kazi yao ni kupanga bei za vifurushi tu ila mambo mengine hawana mda nayo.
Nimewahi kufika ICU.Je ICU haina uangalizi kwamba watu wanajiingilia tu na kufanya yao au Madaktari ndio wanafanya haya ?
Kwanini mmekuja haraka sana na idadi ya maelfu mnaowahudumia kabla ya kuwachunguza watumishi wenu! Hatuhitaji majibu ya kisiasa kwenye hili.Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo.
Pia soma;
1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua
Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo.
Pia soma;
1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua
Wasio maarufuWANANCHI WA KAWAIDA ndio hakina nani?
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umeandika kwa hisia sanaInasikitisha sana watu wanakosa utu kiasi hicho.
Na hilo lidada lililopost aisee lilaaniwe.
Na kuna mizombie inachekelea tu,inalipia na hela kuona mambo ya kipumbavu.
Hawa wote ilitakiwa wazolewe na kutupwa ndani jumlajumla(kwa sauti ya Mwanri)
Je palikuwepo na ulazima gani kuandika hivyo? Uadilifu wa hospitali huko wapi sasa?Wasio maarufu
NakaziaKwaio nani mwenye access na mgonjwa aliyepo ICU? au ni moja ya ndugu?
[emoji38][emoji38][emoji38]Wasio maarufu
kwamba wanaruhusiwa kuingia na Tecno ! hivi mlio wa simu ya tecno ikiita ICU kuna mgonjwa atapona ?Nakazia
Hahah, kwa zile kelele anaweza pata heart attackkwamba wanaruhusiwa kuingia na Tecno ! hivi mlio wa simu ya tecno ikiita ICU kuna mgonjwa atapona ?
Huu ni unyama, itoshe kusema hivyo[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]umeandika kwa hisia sana