Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Na wameshauliwa askari zaidi ya 1,500 😀😀😀

Gaza bado haijafutika kwenye ramani ya wajinga wafilisti!
 
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Kwani Hammas kipindi wanashambulia wananchi waisrael waliruhusu wanawake na watoto kutoka mbona mnatafuta huruma kwa wapalestina ila kwa Israel hamuoni huo ugaidi anaofanyiwa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwa usalama wa Israel inabidi mpaka usogee ndani ya Gaza kwa km 100, kusiwepo na nkazi wala shuguli yoyote ndani ya hizo km 100
 
ACha wavune walichokitafuta wenyewe. Huwezi kuua watu wasio na hatia afu ukaachwa tu. Yani watapigwa nila kujali. Idadi ya walio uliwa israel itazidishwa mara 20 sasa waamue wenyewe wakimbie au wageuzwe majivu..
 
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Walipo ipiga israel na kuteka raia wasio na hatia huo umoja wa mataifa mliuomba uingilie kati..? Unafiki ni mbaya saaba
 
Kwani wanataka Amani au wanataka Uhuru? Maana ninachofahamu hakuna amani pasipo na Uhuru, si kwa mtumwa wala bwana wake, wote hawawezi kuwa na amani kamwe!
 
Changa la macho hilo, ili wapalestina waendelee kupigwa tu.Waisrael wanataka Gaza iwe majivu tu halafu wahamie Lebanon wakatoe kibano kwa Hizbollah halafu ndio watulie.
Yaani kibano kitolewe kwa hao washenzi. Yule jamaa yao wa hizbollah aliwapongeza wapalestina akijua israel watalala usingz sahv huko alipo anatama ajinyeee
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
Hayo ni mawazo yako
 
Yaani kibano kitolewe kwa hao washenzi. Yule jamaa yao wa hizbollah aliwapongeza wapalestina akijua israel watalala usingz sahv huko alipo anatama ajinyeee
Kwani 1947 kurudi nyuma, nchi ya Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
 
Kwa usalama wa Israel inabidi mpaka usogee ndani ya Gaza kwa km 100, kusiwepo na nkazi wala shuguli yoyote ndani ya hizo km 100
Huko kumega ardhi ya Wapalestina kutaongeza zaidi matatizo na kusukuma vijana wa kipalestina kujiunga na makundi ya Hamas na Islamic Jihad kupambana na Israel.

Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali isiyomegwa kila kukicha.
 
Kwani 1947 kurudi nyuma, nchi ya Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Ka google maswala ya kufundishana historia ya dunia sio mahala pake hapa. Wote hao pale walirudishwa soo ubinafsi wa wapalestina kutaka wakae wenyewe ndio unawafikisha hapo.
 
Waarabu waungane waiondoe hiyo izrael
Hawataiweza Israel hata wakiungana. Israel inaungwa mkono karibu na mataifa yote makubwa ya West. Kwa vita, Gaza Strip inaweza kuwa jangwa bila hata kiumbe hai mmoja. Solution ni kuendelea na political dialogue, with UN oversight. Sijui Hamas walifikiria au walitarajia nini baada ya kufanya unprecedented mashambulizi makubwa kiasi hicho kwa Waisrael. I feel sorry for both countries. Ila Hamas watakiona sasa. Sadly, vita haibagui yupi ni yupi. Sadly, kutakuwa na mass killing of innocent people. Hamas wamelianzisha ila hamakuwa na strategy ya kulimaliza. Sasa watamalizwa.
 
Waarabu waungane waiondoe hiyo izrael
wakiungana ndio watapigika wachake na israel kama kawaida yake itateka tena maeneo mengia. Wasithubutu kuungana kuipiga israeli. We umezaliwa lini kiasi cha kutokujua kwamba waarabu waliwahi kuungana na wakapokea kipigo cha mbwa mwizi? Labda marekani ikae pembeni ndio wataweza kuishinda ikiwa itaishiwa silaha
 
Ka google maswala ya kufundishana historia ya dunia sio mahala pake hapa. Wote hao pale walirudishwa soo ubinafsi wa wapalestina kutaka wakae wenyewe ndio unawafikisha hapo.
Unaonaje ukagoogle wewe halafu ulete majibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…