Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Na wameshauliwa askari zaidi ya 1,500 😀😀😀HIi vita iendelee tu, unaambiwa Usrael wanashushiwa kichapo huko hsijapata kutokea.
Wameingia gaza kichwa kichwa wamechinjwa wote, Halafu Gaza wala hawana wasiwadi, maisha yanaendelea kama kawaida. Zile videos za eti Gaza inashambuliwa kumbe ni uongo mtupu
Gaza bado haijafutika kwenye ramani ya wajinga wafilisti!