Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

Wapalestina round hii watasaga meno, mwana kulifind mwana kuliget.Acha wapigike tu hakuna namna.
 
IMG_20231010_213458~2.jpg
IMG_20231010_213500~2.jpg
 
Kwa kweli hali ilivyo Jumuia ya Kimataifa inabidi iingilie kati kuishawishi Israel isitishe mashambulizi ya anga kwa muda ili kuruhusu raia wasio na hatia mf.akina mama, watoto na wazee kutoka Gaza!
Otherwise ni maafa ya kutisha!
Washaambiwa waende Rafah, huko watakimbilia Misri
 
Hii tabia ya vyombo vya uarabuni kuonyesha muda wote watoto waliopigwa mabomu na majeruhi watoto imepitwa na wakati..wao wanadhani dunia inawasikikitikia kumbe wala....
 
Sasa wanalianzisha wakijibiwa wanalalamika? Watu walikuwa wametulia zao tena wamejizungushia ukuta kabisa kwamba hawahitaji vita,wanavamia na kuua,kuteka,Tena watoto , wanawake na hata wanajeshi.Wanategemea kwamba wangepigiwa makofi kupongezwa?La hasha wanavuna walichopanda.Hivi Leo nenda kavamie kambi ya jeshi Halafu uue na kuteka wanajeshi uone utakacho kipata .Hii haihusiani na dini,Hakuna dini inayochochea vurugu na mauaji.Hamas ni wahuni tu kama wahuni wengine .Hivi wazee wa makobazi na vipedo mnakwama wapi?🤔
 
Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine, michezo ya warusi hii
Ni USA weapons vs USA weapons
 
Hivi kuna haja gani ya kufurahia vifo vya wanadamu wenzako?Kama vile wewe hutakufa na hujui kifo kipi!Hamas na Israel wote ni makatili tu.
Kama hamasi wasingeanzisha mashambulizi, Israel wangefanya haya?

Wajinga hapa ni hamas, wanchokoza dude wasilolimudu. Acha wapewe kitanda walale.

Nilisema kuna watu wataomba poo siyo muda na hao wa haki za binadamu walikaa kimya.

Kiko wapi leo. Na bado, hadi mseme. Bado tu hamjasema! Hadi mseme!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom