Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Nauli ya Arusha-Dar pls,nataka nikaone the tallest building in Tanzania...
Usijisumbue mkuu, Hakuna kitu kama hicho, Ngorongoro building yenye ghorofa 12 inaonekana mji mzima, ukiwa Nanja hadi waya, njiro hadi muriet linaonekana, hilo la ghorofa 40 si tungeliona hata tukiwa chumban mkuu? Huyo jamaa ameota!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Uzi bila Picha yafaa ku ususia haufai kuendelea kufanya mijadara juu yake
 
Nitatuma picha Ili kukuonyesha sijaota
 
068 200 5128
Utapata habari kama ni Kweli au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…