Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Hii sio kweli...
Huwezi kujenga gorofa 40 Maji ya Chai.. Ni almost landing area kwa Boeing zinazotua KIA..
Ni kama mtu ajenge gorofa 40 au 30 Vingunguti au Gongo la Mboto ambapo ni maeneo ya Boeing kujinafasi inapokaribia JNIA..

Na gorofa 40 haziwezi kujengwa kwa mwaka mmoja...

Kama kuna ujenzi basi ni gorofa 10 au 12 ila wewe nahisi hujahesabu vizuri
 
Kwa maelezo haya inaelekea hilo jengo litakuwa limeboresha sana mazingira lilikojengwa inafurahisha na kutia moyo sana kwamba wapo wawekezaji wenye uwezo na maono kupenda kuwekeza Tanzania watu wa namna hiyo wenye kuja na Miradi mikubwa wanapaswa kupongezwa na kutiwa moyo.hongera sana mwekezaji maana kwa kupitia mradi huu serikali itanufaika kwa kupata kodi na pia watanzania kadhaa watapata ajira na kubwa zaidi ni kwamba Tanzania inapiga hatua.
 
Kama ni kweli na habari ipo humu basi jitie kimbelembele kukatiza maeneo hayo.
 
Acha wivu.
Ulitaka watu wote wawe maskini kama wewe?
Hii ndio ilikuwa akili ya Magufoool.
Ungekuwa muungwana usingeandika hivyo.
Chochote kinachofanyika bila kufuata utaratibu ni wizi/ utakatishaji wa fedha.
Je angeandika kuhusu wauza madawa ya kulevya ungemwambia hivyo pia?.

Nafikiri hujaeleqa vizuri labda
 
Back
Top Bottom