Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Saba General hao, mangu
Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha

li wa kuuza vipuri vya magari ya Kijapan.
 
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Bila picha hii taarifa ni batili.. [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Yamefanyika 100% na kuna mkono wa mtu mkubwa sana .
Kilichojengwa huko Sio kitu cha kawaida mkuu
Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.

Huenda wao ni bosheni tu.

Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
 
Saba General hao, mangu
Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha

li wa kuuza vipuri vya magari ya Kijapan.
 
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Hofu yangu tu.. wamejenga kwa kufata vigezo vya maeneo yaliyopitiwa na Bonde la ufa??..

Maana gorofa arobaini si mchezo likitokea tetemeko kuanzia rikta 5 ni balaa zito

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha
Ndo kusema wapiga dili wamerudiiii.
 
Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.

Huenda wao ni bosheni tu.

Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
Ubarikiwe sana kwa kufuatilia ukweli huo
 
Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.

Huenda wao ni bosheni tu.

Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
Halafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !
 
Kwa taarifa za hivi punde hakuna jengo hilo la ghorofa 40 bali ghorofa hazizidi 5 majengo kadhaa labda pawepo mpango tu..na lami hakuna
 
Usijisumbue mkuu, Hakuna kitu kama hicho, Ngorongoro building yenye ghorofa 12 inaonekana mji mzima, ukiwa Nanja hadi waya, njiro hadi muriet linaonekana, hilo la ghorofa 40 si tungeliona hata tukiwa chumban mkuu? Huyo jamaa ameota!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Naambiwa ni kweli huo mjengo upo Maji ya Chai.
 
Back
Top Bottom