peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
- #121
Hi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kapicha ka mradi huo hakawezi kupatikana kwa sababu mradi umefichwa, usifahamike ni wa nani?Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Picha zote zinaandaliwa na zitumwa Jf.Na kapicha ka mradi huo hakawezi kupatikana kwa sababu mradi umefichwa, usifahamike ni wa nani?
Au tuseme JF nao wameshiriki kutoruhusu picha za aina hiyo?
Au pengine wewe umetishwa, usithubutu kupiga picha na kusambaza?
Yaani huna njia yoyote ya kuweza kuonyesha picha za ulichokiona wewe nasi tushiriki katika mjadala huu tukiwa na uhakika wa kinachozungumziwa?
Ninaweza kukwambia kwa kukisia kiasi kadhaa cha ukweli, kwamba huo haukosi kuwa mradi wa wajomba zetu toka Ghuba.Picha zote zinaandaliwa na zitumwa Jf.
Ulinzi Eneo hilo ni mkubwa ila kwa hatua tuliyofikia tutazituma
Ni jengo gani mkuu?I mean Jina la Jengo
Ya kwake mwenyeweYa Mbilinyi aka sugu ,ni yanani?
Mkuu 'Glenn', sijawahi kukusoma ukisema uongo, labda uanze leo, ila sijui iwe ni kwa sababu zipi nawe ushiriki kutetea uongo.Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.
Huenda wao ni bosheni tu.
Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
Kwanza umewahi panda ndege tuanzie hapoWewe unajua nini? Ulishawahi kuona gorofa 40 karibu na airport? Au unatatizo la afya ya akili.?
[emoji23][emoji23][emoji23] dah kwahyo anasaidia kazi za dada akeKwanza umewahi panda ndege tuanzie hapo
Gorofa 40 ni meter ngap juu na approaching attitude ya ndege za Kia ni ngapi
Tulia dada ako atoke kazini umebaki na mumewe hapo kakushika Hadi akili imeruka
Pale opposite na kituo cha mafuta cha Puma?Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha
Gorofa 40 unaeza lipiga hata mita 300 nyuma na likaonekana au radius ya mita 300 yote ni ulinzi😁Picha zote zinaandaliwa na zitumwa Jf.
Ulinzi Eneo hilo ni mkubwa ila kwa hatua tuliyofikia tutazituma
Mkuu naomba niweke viziri.Mkuu 'Glenn', sijawahi kukusoma ukisema uongo, labda uanze leo, ila sijui iwe ni kwa sababu zipi nawe ushiriki kutetea uongo.
Kwa hiyo "hotel" ipo inajengwa kisirisiri sana isijulikane mmiliki wake ni nani.
Hiyo inatosha kujuwa kwamba ni mradi wa watu wasiopenda wajulikane kwa sababu maalum.
Ni ngapMkuu naomba niweke viziri.
1. Kuhusu umiliki siujui ukweli bali
Nimeongea na mtu aliyeshoriki kujenga kwa muda kuwa wamiliki kimuinekano ni wa kiarabu toka Tanga.
2. Wakandarasi ni Wahindi.
3. Hivyo hotel ni kqeli inajengwa.
4. Kuhusu kutokuwa na kibali au kutofuata taratibu hilo silijui bali ujenzi ni kweli unaendelea lakini sio ghorofa 40.
Nb: maeneo hayo ni makazi ya Wazungu panaitwa Dolly
Na sasa hivi wajenga ingine kwa pembeni pale...si mchezo...Bosheni imekuwepo miaka na miaka mkuu.
Kibo complex ni ya Anna Mkapa lakini bosheni wake ni dalali wa mchanga aitwaye Mchaki.
Inatosha mkuu, sasa mnanisukumia kwenye dhambi🤣Ni ngap
Hivi unajua usalama wa airport yoyote na urefu wa majengo kwa kilomita mraba 15?Kwanza umewahi panda ndege tuanzie hapo
Gorofa 40 ni meter ngap juu na approaching attitude ya ndege za Kia ni ngapi
Tulia dada ako atoke kazini umebaki na mumewe hapo kakushika Hadi akili imeruka