Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Uko sahihi mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Weka kapicha
 

Mbona hiyo hotel ilikuwa inajengwa kusnzia JPM akiwa hai! JPM kafariki mwakajana tu mwezi wa tatu na hotel ikiwa inaendelea kujengwa!
 
Weka pikture bhana
 
Kwahyo hilo gorofa refu litakuwa limesimama pekeyake katikati ya msitu kama uboow?
 
Huyu dogo ni muongo sana, kwanza mtu yeyote akiwa anapita eneo la usa maji ya chai, sabato kuja mpaka njia panda ya ngurdoto lazima kwa mbali utakuwa unaliona kwa mbali kutokana na urefu huo.

Nafahamu mmilikinwa eneo hilo ni tajiri mmoja hivi ambaye mpaka serikali kumruhusu kuweka wanyama poli eneo hilo basi ni mnene kweli kweli, japo kina retired presidar + watoto wao wana mkono wao hapo.
 
Nimemfuata mtu mada inbox anasema hana picha kwa sasa 🤣🤣 ila tukimchangia nauli ataziendea asubuhi
 
Picha hakuna
 
Mawazo ya kimasikini haya!

Kama Hotel imejengwa kwenye ardhi ya Tanzania na ni ya nyota 5 au 7...ubaya uko wapi?

Huo ni ujinga na unawafanya watu wenye pesa zao kwenda kuwekeza nje°

By the way...

Wajua maana ya Trilioni kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…