figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Utakuwa umechanganya mambo. Miiaka kumi ya wapi wakati imezinduliwa Januari Mwaka huu 2026? Au umechanganya na ile hoteli ya Mapito Tented Camp?hio mbona kitambo sana ndo bei yake tangu miaka 10 huko nyuma naijua hio bey ya million 4 kwa chumba
ok nahisi basi nimechanganya maana hata jina nilisahau ila habari ya chumba usiku mmoja kwa million 4 naijua long back agoUtakuwa umechanganya mambo. Miiaka kumi ya wapi wakati imezinduliwa Januari Mwaka huu 2026? Au umechanganya na ile hoteli ya Mapito Tented Camp?
Hujui kama huyo mbogamboga! Alitaka kutetea kiainaUtakuwa umechanganya mambo. Miiaka kumi ya wapi wakati imezinduliwa Januari Mwaka huu 2026? Au umechanganya na ile hoteli ya Mapito Tented Camp?
Luka hajambo?Hujui kama huyo mbogamboga! Alitaka kutetea kiaina
Hujui kama huyo mbogamboga! Alitaka kutetea kiaina
Kwaiyo kwa akili za 🫎🫎🫎🫎🫎 tumepata kujua ya nani apo????
Mleta mada mwenyewe kama kashindwa kusimama
sehemu moja👈
Kama una hakika🫎🫎🫎 yanini kuzania zania jambo 👈
mwisho unaonekana wazi wazi chuki zimekupalama kwanzia kichwani mpaka vifuani mweko🫡🫡
chuki ni ugonjwa nenda kwa Doctor