Kwanini usiweke ushahidi hapa mchongo mzima ulivyokuwa kuliko hizi blaa blaa zako?Polisi wanapewa maagizo na nani? Hivi ww unadhani watu ni watoto wa hivyo? Ni hivi, hilo hata udhikiri ,uchi huwezi kubadili ukweli uliopo. Ww baki ukidai ushahidi, wakati wachunguzi ndio sehemu ya huo uhalifu.
Ushahidi zaidi ya huo? Ingekuja taasisi binafsi, ndani ya robo saa ushahidi wote ungekaa mezani.Kwanini usiweke ushahidi hapa mchongo mzima ulivyokuwa kuliko hizi blaa blaa zako?
Hahahaha.. Mimi nipinge tena! Kwani mimi ni mfuasi wa Hayati?Usiwe na hasira za kijinga!
Kwani hili povu lako lote la nini?
Unapinga wapinzani kuteuliwa ama vipi? Maana sikuelewi
Lakini utofauti upo Kati ya huyu na hayati . wako tofauti sana kimatendoJiwe tumemkanaje?
Slaa, Mgwira, Kitila, Mtatiro, Kafulila wote hao waliteuliwa na jiwe enzi zake..
akiwa mwanasheria mkuu wa serikali itatosha sana atatekeleza kwa ufanisiLeo unapata tabu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuona Lisu akiteuliwa kutekeleza sera za ccm utake usitake.
Nioneshe posti yangu moja tu niliyompinga mama!Hahahaha.. Mimi nipinge tena! Kwani mimi ni mfuasi wa Hayati?
Mimi natabasamu tu jinsi ulivyobadilisha gia angani.
Mwanzoni ulikuwa unapinga mwelekeo wa mama, sasa hivi umeshalainika tayari.
Mimi nilikuuliza:
Sasa hivi unasapoti wapinzani kuteuliwa, HIVI WAPINZANI HAWACHELEWESHI MAENDELEO tena?
Hebu nijibu hili. Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
Kumbe mpaka ije taasisi? Mimi nilifikiri ushaidi unao!Ushahidi zaidi ya huo? Ingekuja taasisi binafsi, ndani ya robo saa ushahidi wote ungekaa mezani.
Huyo Mayalla no, anayumba sanaAngalao sasa hata Paschali Mayala atafanikisha ile Ndoto yake ya Teuzi siku zimekuwa nyingi Bhagoosha!
Unapenda kutongozwaSiku hizi raha sana kusikiliza hotuba za Rais
Kama ilani inatekekezwa kwa interest za nchi na wananchi wake nadhani hapo hakuna shida.Sioni jipya hapa.
JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Mama ni Populist anapunguza wapiga kelele anawapatia kazi za kufanya wapunguze midomoTanzania itajengwa na watanzania. Mama amesema atafanya kazi na mtu yeyote bila kujali itikadi ilimradi awe na uwezo. Hii ndio Tanzania tunayoitaka. Mwenye uwezo apewe nafasi ili Tanzania isonge mbele. Wote tunajenga nyumba moja.
Taasisi itapata kibali cha kuweka huo ushahidi wazi. Lakini bila hata hiyo taasisi, habari ndio hiyo, hutaki baki ukinyeshea maua hapo kwenye kaburi la dhalimu.Kumbe mpaka ije taasisi? Mimi nilifikiri ushaidi unao!
Kwaiyo atuliwe tu kwenye serikali ya waongo wenzie?Basi inawezakana lissu naye alidanganywa na hao waongo waliomdanganya kassim na suluhu.
Unachekesha.Sijaunga juhudi ila nasema hivi,ni heri Zimwi ulijualo (CCM ASILIA) kuliko lile Zimwi la (WACHUNGA NG'OMBE) ambalo lilitaka Kutumeza na kututeketeza
CCM ASILIA itaturudisha kule kwenye Awamu ya Nne kwenye Demokrasia na Katiba mpya
Tunamfurahia Mama na mengi Moyoni ila lengo letu ni Tanzania yenye Demokrasia na yenye kuheshimu KATIBA na SHERIA na HAKI ZA BINADAMU.
umenielewa Mataga?
Lisu awe mwanasheria mkuu Ili kubadili sheria dhalimu mfano ya uhujumu uchumi,kukaa ndani kabla ya ushahidi kukamilika.
Aisee kweli kabisa maamini we ndio utaongoza zoeziKuna watu watachambia pilipili mwaka huu
Mzee mwenzangu hujambo?Wengine wote ambao ni Watanzania wasio na asili ya Afrika/weusi...