Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Katika suala la pensheni kwa sasa angali madai ya WASTAAFU waliokuwa kwenye ajira na kukatwa mishahara yao lakini muajiri hakupeleka michango. Chonde mama wasaidie hawa wazee walipwe. Mfano ni WASTAAFU wa ATCL ( Air Tanzania ) hadi leo wanazunguushwa na wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Wizara ya Fedha wameshafanya uhakiki lakini malipo hayajafanyika lugha kuu ni vuteni subira.
Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi wamekemea ucheleweshwaji huu lakini wizara husika zinapiga dana dana huku wazee wakizidi kufa na kuacha mafao yao
 
Polisi wanapewa maagizo na nani? Hivi ww unadhani watu ni watoto wa hivyo? Ni hivi, hilo hata udhikiri ,uchi huwezi kubadili ukweli uliopo. Ww baki ukidai ushahidi, wakati wachunguzi ndio sehemu ya huo uhalifu.
Kwanini usiweke ushahidi hapa mchongo mzima ulivyokuwa kuliko hizi blaa blaa zako?
 
Usiwe na hasira za kijinga!

Kwani hili povu lako lote la nini?

Unapinga wapinzani kuteuliwa ama vipi? Maana sikuelewi
Hahahaha.. Mimi nipinge tena! Kwani mimi ni mfuasi wa Hayati?

Mimi natabasamu tu jinsi ulivyobadilisha gia angani.

Mwanzoni ulikuwa unapinga mwelekeo wa mama, sasa hivi umeshalainika tayari.

Mimi nilikuuliza:
Sasa hivi unasapoti wapinzani kuteuliwa, HIVI WAPINZANI HAWACHELEWESHI MAENDELEO tena?

Hebu nijibu hili. Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
 
Mama ameamua sasa, nafurahia jitihada zake za kuleta umoja wa kitaifa.
 
Jiwe tumemkanaje?

Slaa, Mgwira, Kitila, Mtatiro, Kafulila wote hao waliteuliwa na jiwe enzi zake..
Lakini utofauti upo Kati ya huyu na hayati . wako tofauti sana kimatendo
 
Leo unapata tabu, [emoji23][emoji23][emoji23]

Jiandae kuona Lisu akiteuliwa kutekeleza sera za ccm utake usitake.
akiwa mwanasheria mkuu wa serikali itatosha sana atatekeleza kwa ufanisi
 
Hahahaha.. Mimi nipinge tena! Kwani mimi ni mfuasi wa Hayati?

Mimi natabasamu tu jinsi ulivyobadilisha gia angani.

Mwanzoni ulikuwa unapinga mwelekeo wa mama, sasa hivi umeshalainika tayari.

Mimi nilikuuliza:
Sasa hivi unasapoti wapinzani kuteuliwa, HIVI WAPINZANI HAWACHELEWESHI MAENDELEO tena?

Hebu nijibu hili. Wapinzani wanachelewesha maendeleo au hawacheleweshi?
Nioneshe posti yangu moja tu niliyompinga mama!

Ukiiona nishtaki kwa mods wanipige ban ya maisha!

Mimi siyo roboti kama nyie kwamba mwamba akisema tugeukie huku mnageuka.
 
Sioni jipya hapa.

JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Kama ilani inatekekezwa kwa interest za nchi na wananchi wake nadhani hapo hakuna shida.
 
Tanzania itajengwa na watanzania. Mama amesema atafanya kazi na mtu yeyote bila kujali itikadi ilimradi awe na uwezo. Hii ndio Tanzania tunayoitaka. Mwenye uwezo apewe nafasi ili Tanzania isonge mbele. Wote tunajenga nyumba moja.
Mama ni Populist anapunguza wapiga kelele anawapatia kazi za kufanya wapunguze midomo
 
Kumbe mpaka ije taasisi? Mimi nilifikiri ushaidi unao!
Taasisi itapata kibali cha kuweka huo ushahidi wazi. Lakini bila hata hiyo taasisi, habari ndio hiyo, hutaki baki ukinyeshea maua hapo kwenye kaburi la dhalimu.
 
Lisu awe mwanasheria mkuu Ili kubadili sheria dhalimu mfano ya uhujumu uchumi,kukaa ndani kabla ya ushahidi kukamilika.
 
Sijaunga juhudi ila nasema hivi,ni heri Zimwi ulijualo (CCM ASILIA) kuliko lile Zimwi la (WACHUNGA NG'OMBE) ambalo lilitaka Kutumeza na kututeketeza
CCM ASILIA itaturudisha kule kwenye Awamu ya Nne kwenye Demokrasia na Katiba mpya

Tunamfurahia Mama na mengi Moyoni ila lengo letu ni Tanzania yenye Demokrasia na yenye kuheshimu KATIBA na SHERIA na HAKI ZA BINADAMU.

umenielewa Mataga?
Unachekesha.
 
Back
Top Bottom