Katika suala la pensheni kwa sasa angali madai ya WASTAAFU waliokuwa kwenye ajira na kukatwa mishahara yao lakini muajiri hakupeleka michango. Chonde mama wasaidie hawa wazee walipwe. Mfano ni WASTAAFU wa ATCL ( Air Tanzania ) hadi leo wanazunguushwa na wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Wizara ya Fedha wameshafanya uhakiki lakini malipo hayajafanyika lugha kuu ni vuteni subira.
Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi wamekemea ucheleweshwaji huu lakini wizara husika zinapiga dana dana huku wazee wakizidi kufa na kuacha mafao yao
Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi wamekemea ucheleweshwaji huu lakini wizara husika zinapiga dana dana huku wazee wakizidi kufa na kuacha mafao yao