Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Sinaga matatizo na Wazanzibari, ndio watu ambao walau wanayaishi mafundisho ya dini yao; nasikia hata Dr. Shein alikubali kumuachia nchi madevu uchaguzi wa mwaka 2015 but Chinga ndio aliweka ngumu, inasemekana kipindi hicho Chinga ndio alikua anaongoza nchi kwa remote.

Anyway, (nje ya topic) kufuatia kinacho endelea bungeni sasa, mama nadhani anawahitaji zaidi wabunge wa upinzani kuliko vilaza wa ccm; yaani matamshi ya bwana radio yamenikata stimu kabisa, nimemsoma profesa Muhongo kuhusu umeme wa maji ndio kabisa yaani; wabunge wa ccm ni JANGA kubwa sana kwa taifa hili, hawajui wanafanya nini bungeni, to me hawa wanakula mshahara wa bure, hawana TIJA kwa taifa.
 
Huyu SSH hajafuta usemi wake: hata mkiwapa upinzani kura CCM ndiyo itaunda serikali
 
Samia keshasema mambo ya Katiba Mpya (hence Tume huru) yasubiri kwanza...

Bunge hili la Ndugai halina ubavu wala political will ya kuinitiate mambo ya Katiba. Tutaingia kwenye uchaguzi kwa NEC hii hii ya sasa
Lakini hajasema haitokuwepo, kasema tusubiri kwanza
 
Mbowe ni kiongozi wa upunzani mwenye hekima na busara nyingi sana. Nimemfuatilia kwa muda mrefu siyo hao kina lisa na wapambe wake wenye mihemko kama kuku wanaotaka kutaga mayai
Baada ya kushindwa kummaliza kwa risasi basi ndiyo mmeamua kumchukia mh Lissu maishani mwenu hadi mnaingia kaburini
 
Mbowe pse uwe smart this time kuna watu wako stand wakivutiwa tu na bus tutajazana humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…