Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Aingie kwenye uchaguzi Buhigwe aongeze wa bunge.
 
Aliyekuamia atapitishwa kugombea na CCM 2025 ni nani?CCM haiwezi kuchezea shillingi chooni,hatujasahau changamoto ya 2015.
 
Aeleze pia Mwenyekiti wa kanda ya kaskazini Godbess Lema anaendeleaje kuwa mwenyekiti wakati yuko Canada ukimbizini.Wakimbizi huwa hawaruhusiwi kujihusisha na siasa.Hicho cheo chake nafasi itazobwa lini?
Pole sana Mnyonge
 
Kwani Mbowe ni nani mpaka ahutubie Taifa?Si mwenyekiti wa Chadema tuu,Kama Lipumba alivyo CUF mnakuuzaa
 
Sasa sijui itakuwaje , utazima redio au utazima Tv ? maana Mwamba ndio anajipanga kuhutubia Taifa
Hawezi kuhutubia taifa..,.atazungumza na vyombo vya habari...anayezungumza na taifa haaliki waandishi wa habari Bali anazungumza na taifa akiwa Ikulu na speech yake inarushwa Moja kwa Moja..
 
Washenz wameanza kuinua vichwa! Midomo ilikua imechacha kwa miaka 5, sasa umeanza kuifunua.
Mbona kipindi Mangu yuko hai hukuinua chongo yako. Haya tutakuja kuona unavyo kengezesha kengezesha mimacho.
 
Washenz wameanza kuinua vichwa! Midomo ilikua imechacha kwa miaka 5, sasa umeanza kuifunua.
Mbona kipindi Mangu yuko hai hukuinua chongo yako. Haya tutakuja kuona unavyo kengezesha kengezesha mimacho.
Shukrani sana kwa kutufuatilia
 
punguzeni mihemko khee
Kwani mkiandika Mwenyekiti Mbowe Kulihutubia Taifa haitoshi!

Hii ya kulitikisa Taifa ya Nini?
Msipotoshe watu
Mbowe atahutubia na watu watamsikiliza kwani ni charismatic (ndiyo ana ushawishi mkubwa)
Hotuba zake huwa zinabeba matumaini na uponyaji so atasikilizwa kwa utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…