Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Umasikini unao wewe usitujumuishe wote. Sisi wengine siyo masikini, tunaardhi yakutosha, nyumba na kunapata milo mitatu kwa siku unawezaje kutuita masikini. Tena ukome kabisa kama umasikini ni wako.
 
Unamaanisha nini "Lugha Rasmi"? Kwa Tanzania lugha Rasmi ya kwanza ni Kiswahili. Ya pili ni Kiingereza. Kwa akili yako "kubwa" unatakiwa kujivunia lugha Gani hapo?
Ukiwa na watoto wawili, wangapi wanatambulika, ni yupi unayepaswa kujivunia? Kama zote ni lugha rasmi, na Kiingereza ni "official language", shida iko wapi?
 
Umasikini unao wewe usitujumuishe wote. Sisi wengine siyo masikini, tunaardhi yakutosha, nyumba na kunapata milo mitatu kwa siku unawezaje kutuita masikini. Tena ukome kabisa kama umasikini ni wako.
Sawa, jibu hoja zingine.
 
Nauliza tu,kwa sauti kuna ubaya wowote angeongea kiswahili...maana naona kuna wanaotranslati kwa lugha zao ndo maana wana headphone.vitu vingine nikujifedheesha tu.pigaa kiswahili
 
Kwa niaba yangu
Mtu anayesema "kwa niaba yangu" anakosea sana.
Anatakiwa kusema "Mimi mwenyewe" maana ukisema kwa niaba ya fulani maana yake unamsemea au unamfanyia jambo mtu ambaye hayupo kwenye hiyo hadhara hivyo unamwakilisha.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

View attachment 3081554
Watanzania ndio maana mnabaki kuwa masikini mNafocus na upuuzi. What is English by the way ? Wachina wanakuja Tanzania kuwaibia mahela yenu, Hawajui English wala swahili. Nyie pride yenu ni English . Tanzania ni taifa la laana na kwa hakika JAHANAM inaanzia Tanzania. Sijawah ona taifa la hovyo na masikini wa akili hadi hela kama TZ

Na nyie mawqziri acheni ujinga, kwani ni lazima kusoma kwa English, dunia ya technology kama sasa Tumia lugha yako , wao watasikia kwa lugha zao

.China anaenda ulaya na anaongea kichina tu and they deliver , Mimi kwanza sielewi why tutumie English kwenye meeting kama hizo ? Tukuze swahili

Makamba anajua snaa English but ni mtendaji wa hovyo na mla rushwa, fisadi. Lugha sio ishara YA utendaji bora, ndio mana wachina wanakuja kuwaibia TZ maana hamna akili. Hata Faustine , Hana communication skills nzuri , hawezi kuongea kwa utulivu na ku relax , kwenye speech yake ya kujinadi, unaona kabisa anafokea watu badala ya kuongea and make listening enjoyable, hakuwa na tone nzuri sema kampeni zimembeba , na wala kuongea kwake sio ishara utendaji wake .

Waziri anaejua kuongea and very relaxing ni makamba

All in all tuache ushamba wa lugha, mbona mzungu akiongea broken swahili hatucheki?

Cha msingi kila mtu aongee lugha mama , swahili is strong language , huNA haja na kujichosha na ngeli…. Inasaidia nini ?

Rest easy JPM

Black is a symbol of mental slavery , shame

Being black is a curse
 
Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.

Ni upuuzi tu kuhalalisha huu ujinga, hawa ndio wanaosign mikataba ya kutuuza! Acha tuwe na slavery mentality kwa akili yako lkn huyu mama hana uwezo wa kusoma document ya page 600 ya mkataba toka Ulaya akawakilisha maslahi ya nchi. Hafai hata kuwa headmaster ya sekondari ya kutwa! Hata debate ya form 2 hawezi kuchangia huyu
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

View attachment 3081554
Nimeona aibu sana niliposikiliza, niligeuka kila upande nione kama kuna mtu ananiona
 
Tunaongozwa na villazza sana
 
Mama ameidharaulisha hiyo wizara, wizara ya elimu, afya, sheria, fedha huko kumeja maprofesa watupu unampaje mtu wizara ambaye ana vielimu vya hapa na pale, angeenda huko habari na michezo, mazingira nk
 
Nani kakudanganya kuwa china haitumii kingereza? Kama wasingekuwa wanatumia kiingereza ingekuwa ngumu sana kuona bidhaa zao madukani, uliwahi kuona bidhaa ya ureno dukani, au bidhaa ya Brazil dukani? Sababu mojawapo ya kutoonekana ni lugha. Mchina kwa kiingereza yuko vizuri asikudanganye mtu na ndio maana dunia nzima inakimbilia huko kufanya biashara.
 
Jamani kiongozi wa yanga unailinganisha na kiongozi wa wizara ya afya?? angekuwa ni wizara kama michezo au mazingira wala nisingemind
 
Hivi sisi kama taifa, tuchague KIMAKONDE kiwe lugha ya taifa maana kiswahili hatujui na kingereza hatujui.
Mtu anasema "Alusha, arisema atakuja, etc" tupige kura tujifunze kimakonde.
Kwa vile kimakonde kinaeleweka kwa wote sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…