Hizi ndizo tunasema akili za kitumwa. Nenda Urusi kama utafundishwa kwa Kiingereza. Madaktari wazuri hapa TZ ni wale wamesoma Udaktari wao huko Urusi na walitumia Kirusi.Kuna msomi aliyesoma kwa Kimatumbi? Haiwezekani ukasoma hadi masters degree kisha usijue Kiingereza ilhali tangu kidato cha kwanza unaitumia lugha hiyo.
π
Inasemekana ni balaakabakisha uchaWi na uchaWA
Inawezekanaje yeye ni msomi na amesoma kwa kingereza tangu form 1 anaongeaje hivyo?? Hawa ndo wale wa kukremisha...Urusi watu wanatumia lugha ya kirusi tangu vidudu mpaka chuo kikuuHizi ndizo tunasema akili za kitumwa. Nenda Urusi kama utafundishwa kwa Kiingereza. Madaktari wazuri hapa TZ ni wale wamesoma Udaktari wao huko Urusi na walitumia Kirusi.
πππNakazia
Lugha Adhimu Na Aushi Kiswahili
Lugha ya Kiingereza hakufanyi wewe kuwa na maarifa zaidi.Inawezekanaje yeye ni msomi na amesoma kwa kingereza tangu form 1 anaongeaje hivyo?? Hawa ndo wale wa kukremisha...Urusi watu wanatumia lugha ya kirusi tangu vidudu mpaka chuo kikuu
Tusisahau Mama Asha Rose Migiro alikuwepo pale UN, Prof kutoka kashai Mama Tibaijuka alikaa pale UN habitat kama sijakosea, Hivi watanzania walinufaika na nini?, tunafikiri Dr Ndugulile kuwepo hapo atatusaidia nini?
Kila mtu ni mahiri katika lugha yake mwenyewe, mbona wamagharibi wΓ nashindwa kuongea lugha zetu hatuwacheki? Je, Waingereza wasomi wote wanajua kuongea kifaransa kwa usahihi?Intro kama hiyo angeimeza tu ,kulikuwa hakuna haja ya makaratasi.
Ila Kinge ni noma sana aisee ,ukimuona akitema kiswahili yaani anatirika hatari lakini ikija Kinge utamuonea huruma michapio kama yote wakayti anasoma on behalf of ma self ,tsenki you vere mache mr chea and all contestants who contested.
Hii kitu hata mimi huwa siielewi!! Yaani unawezaje kuwa kwa niaba yako mwenyewe!!!!!ππππUkisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Muacheni dada jeni jamaniπ€£π€£Anavoyatamka sasa hayo mashudu kwa mbwembwe mwenyewe
Sidhani!Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Hawa ndio wanasaini mikataba mikubwa mikubwa ujue, usimdharau.Mhagama bana na anatabasamu kabisa na kuangalia wana ukumbi π€£π€£π€£π€£ sanks for oppondunity of my own behalf
Tanzania tamu bana π€£π€£
Nilimsikiliza siku moja akimwuliza swali mmojawapo wa wagombea wa ubunge wa Afrika ya Mashariki miaka kadhaa iliyopita nikajua kuwa kiingereza ni lugha yake ya nne au ya tano hivi. Lakini sasa leo yeye niwaziri, utamfanya nini sasa na kiingereza chake hicho.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Tanzania tamu aiseeeMhagama bana na anatabasamu kabisa na kuangalia wana ukumbi π€£π€£π€£π€£ sanks for oppondunity of my own behalf
Tanzania tamu bana π€£π€£
Sasa ni wakati muafaka wa Tz na kiingereza kukaa chini na kumaliza tofauti zao.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee....
Kaka nadhani umekosea kidogo. Kwangu mimi hakuna anayemcheka huyu mama kwa kuongea kiingereza kibovu. Mimi naona ni uwasilishaji wa mada. Angeweza hata akamwambia Waziri wa foreign akawasilisha taarifa. Hata angetumia kiswahili. It would have been very ok. Tz ingeweza ikalipa mkalimani. After all kiswahili ni lugha ya AU. Ingawa WHO ni UN but ingewezekana.Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.