Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Unaiita lugha ya watu ilhali kikatiba inatambulika kama lugha rasmi katika nchi yako.

😁
Unamaanisha nini "Lugha Rasmi"? Kwa Tanzania lugha Rasmi ya kwanza ni Kiswahili. Ya pili ni Kiingereza. Kwa akili yako "kubwa" unatakiwa kujivunia lugha Gani hapo?
 
Kwani hata angeongea Kiswahili unafikiri angejieleza vizuri zaidi ya hivyo?
 
kiufupi ni nongwa tu za waja,

Lakini kiujumla waziri amezungumza vizuri sana kiingereza na mpaka delegates wote waliokuwamo ndani ya ukumbi wa uchaguzi wakapiga makofi kumaanisha wamelewa vizuri alichokua akizungumza waziri,

actually,
alipaswa kutumia kiswahili, jambo ambalo bilashaka angelikua shujaa zaidi hivi sasa kitu ambacho binafsi naona ndicho muhimu Zaidi angefanya..

hata hivyo,
amezungumza kiingereza kizuri zaidi ya Miguel Gamondi wa yanga ambae anachapia mbaya sana na hakuna mtu anashangaa wala kucheka πŸ’
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

View attachment 3081554
Aibu gani hizi jamani? Kiongozi mkubwa kama Jenista anashindwa hadi na sisi form four failure?

Hiyo hotuba kwanini asingeomba tu aandikiwe? Kutamka kumshinde na hata vya kusoma asome utopolo?

Ila mama huwa namkubali sana, yeye kwenye hiyo lugha ameenyooka 100% Sipati picha kajisikiaje aibu kwa mteule wake!
 
Mkuu, Gamondi anaongea English nzuri sana, labda unaleta utani kwenye bandiko lako
 
Mmmhhh !!! Mmmmhh!!! Mmhhhh mmh!!! aibu nimeona mimi ,, afu hawa kutwa nzima ndiyo wanapinga kiiingereza mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…