Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Reo reo au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu tupu!Kwani hupendi amtaje ''pilesident Samia''? On serious note: Hii hotuba inaonyesha viongozi wetu walivyo na vichwa hewa. Ni translation ya kutoka kwenye maudhui ya kiswahi-CCM pamoja na vimelea vya uchawa kwenda lugha ya english. Tanzania tupo nyuma sana kwa kiingereza na mbaya zaidi siyo ufasihi wa lugha tu bali ni quality ya mtu anachozungumza.
Loh😀kiswahili ❌️
Kiswahili ✅️
nakuchalimu demi mrembo
We usicheze na hii kitu inayoitwa - Diploma in Modern Management and Administration toka Cambrige international college. Ni balaaaa! Hpa si kiingera bali ujuzi wa kuwa-manage/kuwaongoza watu.To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi
Bado ina maana fikiria vizuri 😆😆😆😆
Ukitaka kumjua vizuri Kashindane naye kwenye Jimbo lake, ndio utamjua J. Muhagama ni nani katika ubora wake. Mwenyewe utamzawadia PhD.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee
Kwani ukiitumia kwenye masomo then unaweza kui master kwa kila angle? Hivi unajua mtu anaweza akashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe?wewe ni walewale wacha kujitetea. Lugha waitumia kwenye masomo yako kwanini miaka yote ushindwe kui-master? hapo ndio msingi wa ukilaza wa watu calibre yenu.
Mbona hata kwa lugha zetu watu wanatamka majina tofauti na inavyoandikwa? Kwa mfano mtu anataja Balabala badala ya Barabara? Ndio utasema ni mjinga kwa sababu hiyo tu?Mkuu ndo u pronounce "plesident" kweli......hata kama ni slavery mentality.....ila Kwa hapo hapana
Ni kweli utajifunza na kuelewa vizuri lakini athari za lugha mama haziwezi kukuacha salama asilimia miaMimi kabila langu ni la Nyanda za Juu kusini na ni kweli hatuna herufi "R".
LAKINI ukihudhuria vizuri madarasa ya shule ya msingi ukasoma na sarufi ya Kiswahili na Fasihi, lazima UELEWE tofauti ya "R" na "L". Usipoelewa wewe basi ni NANGA au KILAZA
Mkuu wanawaza ki-academically zaidi. Angekuwa mzungu akakosea kutamka neno la kiswahili hakuna mapovu kama wanayoyatoa hapa! 🤣Ukitaka kumjua vizuri Kashindane naye kwenye Jimbo lake, ndio utamjua J. Muhagama ni nani katika ubora wake. Mwenyewe utamzawadia PhD.
Waulize CHADEMA walioshindana naye, walijitoa kabla hata ya uchaguzi.
Ushauri: Watanzania zingatieni ujuzi wa mtu katika eneo husika, na sio urembo wa Lugha, kiwe kiingereza, kifaransa na hata hiki kiswahili. Kwa maana hata angewasilisha kwa kiswahili si ajabu angesema Mh Lais badala ya Rais.
Ulitaka nikulinganishe na nani wewe kilaza mwenzangu!?Wee kilaza kweli unatulinganisha na china ? Global history unaijuwa? Shortly intelligence selection kunashida ...ingekuwa wizara ya Michezo sawa ....bongo wenyeupeo mdogo kushika Hatamu
Usitete ujinga tokea form one mpaka form four au six kingereza, ukienda vyuo kuanzia level ya cheti mpaka phd ni kingerezaMkuu wanawaza ki-academically zaidi. Angekuwa mzungu akakosea kutamka neno la kiswahili hakuna mapovu kama wanayoyatoa hapa! 🤣
Yaani unaniita mjinga kwa kutoa maoni yangu? Sasa ngoja ni kuulize wewe siyemjinga. Kwanini mtu anashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe ambayo ameitumia toka akiwa mtoto mdogo? Mimi nimesoma na wazungu huko UK na wapo ambao walikuwa wanashindwa kujieleza vizuri wakati wanatumia kiingereza lugha yao tangu akiwa mtoto.Usitete ujinga tokea form one mpaka form four au six kingereza, ukienda vyuo kuanzia level ya cheti mpaka phd ni kingereza
Kutokukujua kingereza kwa msomi Tanzania ni aibu kubwa sana
Fahamu mzungu hatumii kiswahili kwenye hatua yeyote ile ya masomo yake tokea nursery mpaka atakapoishia unamfaninisha na mtu ambaye tokea form one mpaka four anatumia kingereza na bado hakijui
Hapo kaandikiwa...lakini pia umesikia content ya hiyo hotuba?Kwa mtanzania ambaye hajaishi muda mrefu nje ya Tanzania ni vigumu kuongea English nzuri, lugha lazima uwe unaiongea mara kwa mara ndo itapanda zaidi, sasa Tanzania lugha ni kiswahili 99.99% , inakuwa vigumu kuongea English iliyonyoka, hata wakenya, waganda kiswahili chao hakijanyoka.
Niambia sasa Jenister Mhagama ameathirika kwa asilmiia ngapi? Maana pale alikuwa anasoma na herufi anaziona still kapandanisha. Je angekuwa anaongea ingekuwa vipi?Ni kweli utajifunza na kuelewa vizuri lakini athari za lugha mama haziwezi kukuacha salama asilimia mia
Sasa huo ni ulemavu kama ulemavu mwingineYaani unaniita mjinga kwa kutoa maoni yangu? Sasa ngoja ni kuulize wewe siyemjinga. Kwanini mtu anashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe ambayo ameitumia toka akiwa mtoto mdogo? Mimi nimesoma na wazungu huko UK na wapo ambao walikuwa wanashindwa kujieleza vizuri wakati wanatumia kiingereza lugha yao tangu akiwa mtoto.
Kwahiyo unawatetea wanaosema balabala instead of barabara......au sjaelewa mkuu???Mbona hata kwa lugha zetu watu wanatamka majina tofauti na inavyoandikwa? Kwa mfano mtu anataja Balabala badala ya Barabara? Ndio utasema ni mjinga kwa sababu hiyo tu?