Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Kwani hupendi amtaje ''pilesident Samia''? On serious note: Hii hotuba inaonyesha viongozi wetu walivyo na vichwa hewa. Ni translation ya kutoka kwenye maudhui ya kiswahi-CCM pamoja na vimelea vya uchawa kwenda lugha ya english. Tanzania tupo nyuma sana kwa kiingereza na mbaya zaidi siyo ufasihi wa lugha tu bali ni quality ya mtu anachozungumza.
Aibu tupu!
 
Wazee wa akili mnemba mmelala sana kwenye kiswahili hii ni fursa kama ilivyo kwenye grammar checker tengenezeni engine mtu anajicheki kwanza kabla ya kuja kwenye hadhara. Msimsahau mzee GANJI kwenye timu😃
 
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi
We usicheze na hii kitu inayoitwa - Diploma in Modern Management and Administration toka Cambrige international college. Ni balaaaa! Hpa si kiingera bali ujuzi wa kuwa-manage/kuwaongoza watu.
Huyu ndio alikuwa handbag ya Magufuli. Unakubaliwa na Magufuli halafu wewe unashangaa. Hata akienda China akipewa kitengo atadumu nacho tu.
By the way- Dr Hussein Mwinyi alikuwa jenerali kuwa waziri wa Ulinzi, au huyu wa sasa hivi ni Luteni kanali.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee
Ukitaka kumjua vizuri Kashindane naye kwenye Jimbo lake, ndio utamjua J. Muhagama ni nani katika ubora wake. Mwenyewe utamzawadia PhD.
Waulize CHADEMA walioshindana naye, walijitoa kabla hata ya uchaguzi.
Ushauri: Watanzania zingatieni ujuzi wa mtu katika eneo husika, na sio urembo wa Lugha, kiwe kiingereza, kifaransa na hata hiki kiswahili. Kwa maana hata angewasilisha kwa kiswahili si ajabu angesema Mh Lais badala ya Rais.
 
wewe ni walewale wacha kujitetea. Lugha waitumia kwenye masomo yako kwanini miaka yote ushindwe kui-master? hapo ndio msingi wa ukilaza wa watu calibre yenu.
Kwani ukiitumia kwenye masomo then unaweza kui master kwa kila angle? Hivi unajua mtu anaweza akashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe?
 
Mimi kabila langu ni la Nyanda za Juu kusini na ni kweli hatuna herufi "R".

LAKINI ukihudhuria vizuri madarasa ya shule ya msingi ukasoma na sarufi ya Kiswahili na Fasihi, lazima UELEWE tofauti ya "R" na "L". Usipoelewa wewe basi ni NANGA au KILAZA
Ni kweli utajifunza na kuelewa vizuri lakini athari za lugha mama haziwezi kukuacha salama asilimia mia
 
Ukitaka kumjua vizuri Kashindane naye kwenye Jimbo lake, ndio utamjua J. Muhagama ni nani katika ubora wake. Mwenyewe utamzawadia PhD.
Waulize CHADEMA walioshindana naye, walijitoa kabla hata ya uchaguzi.
Ushauri: Watanzania zingatieni ujuzi wa mtu katika eneo husika, na sio urembo wa Lugha, kiwe kiingereza, kifaransa na hata hiki kiswahili. Kwa maana hata angewasilisha kwa kiswahili si ajabu angesema Mh Lais badala ya Rais.
Mkuu wanawaza ki-academically zaidi. Angekuwa mzungu akakosea kutamka neno la kiswahili hakuna mapovu kama wanayoyatoa hapa! 🤣
 
Wee kilaza kweli unatulinganisha na china ? Global history unaijuwa? Shortly intelligence selection kunashida ...ingekuwa wizara ya Michezo sawa ....bongo wenyeupeo mdogo kushika Hatamu
Ulitaka nikulinganishe na nani wewe kilaza mwenzangu!?
 
Mkuu wanawaza ki-academically zaidi. Angekuwa mzungu akakosea kutamka neno la kiswahili hakuna mapovu kama wanayoyatoa hapa! 🤣
Usitete ujinga tokea form one mpaka form four au six kingereza, ukienda vyuo kuanzia level ya cheti mpaka phd ni kingereza
Kutokukujua kingereza kwa msomi Tanzania ni aibu kubwa sana

Fahamu mzungu hatumii kiswahili kwenye hatua yeyote ile ya masomo yake tokea nursery mpaka atakapoishia unamfaninisha na mtu ambaye tokea form one mpaka four anatumia kingereza na bado hakijui
 
Yaani unaniita mjinga kwa kutoa maoni yangu? Sasa ngoja ni kuulize wewe siyemjinga. Kwanini mtu anashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe ambayo ameitumia toka akiwa mtoto mdogo? Mimi nimesoma na wazungu huko UK na wapo ambao walikuwa wanashindwa kujieleza vizuri wakati wanatumia kiingereza lugha yao tangu akiwa mtoto.
 
Kwa mtanzania ambaye hajaishi muda mrefu nje ya Tanzania ni vigumu kuongea English nzuri, lugha lazima uwe unaiongea mara kwa mara ndo itapanda zaidi, sasa Tanzania lugha ni kiswahili 99.99% , inakuwa vigumu kuongea English iliyonyoka, hata wakenya, waganda kiswahili chao hakijanyoka.
 
Hapo kaandikiwa...lakini pia umesikia content ya hiyo hotuba?
 
Ni kweli utajifunza na kuelewa vizuri lakini athari za lugha mama haziwezi kukuacha salama asilimia mia
Niambia sasa Jenister Mhagama ameathirika kwa asilmiia ngapi? Maana pale alikuwa anasoma na herufi anaziona still kapandanisha. Je angekuwa anaongea ingekuwa vipi?
 
Yaani unaniita mjinga kwa kutoa maoni yangu? Sasa ngoja ni kuulize wewe siyemjinga. Kwanini mtu anashindwa kujieleza kwa lugha yake mwenyewe ambayo ameitumia toka akiwa mtoto mdogo? Mimi nimesoma na wazungu huko UK na wapo ambao walikuwa wanashindwa kujieleza vizuri wakati wanatumia kiingereza lugha yao tangu akiwa mtoto.
Sasa huo ni ulemavu kama ulemavu mwingine
 
Mbona hata kwa lugha zetu watu wanatamka majina tofauti na inavyoandikwa? Kwa mfano mtu anataja Balabala badala ya Barabara? Ndio utasema ni mjinga kwa sababu hiyo tu?
Kwahiyo unawatetea wanaosema balabala instead of barabara......au sjaelewa mkuu???
 
Back
Top Bottom